Serikali ya CCM, kwanini tunashindwa na wenzetu wanaweza? Mtupishe!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,795
71,214
CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia?

Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati wenzetu majirani miaka kadhaa nyuma 2018 walizindua Setellite yao kwa kushirikiana na Japan.

Kweli sie kutengeneza Trela la mizigo ni suala la kitaifa wakati hayo mambo yalikuwa yanaweza kuwa yanazalishwa na vyuo vya VETA huko vijijini?

Hii ni dhahiri kuwa CCM kwa nyakati hizi sio nyakati zake na sio tu kuwa CHAMA TAWALA hata kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI haistahili, zaidi ya kuwa chama marehemu au kikundi cha vikoba au chama cha kufa na kuzikana.

20210709_065926.jpg
20210709_065934.jpg
 
Hahahaaaa! Huyo Kitila ni Prof wa nini?

Nakumbuka alitakaga kumpindua Mwamba hapo Ufipa, mkamtimua.
 
Enzi za Nyerere, tulikuwa na kiwanda cha kuunganisha malori aina ya scania, matrekta aina ya valmet, tulikuwa tunatengeneza baiskeli aina ya swala, n.k. Leo tumefanikiwa kutengeneza toroli.

Wanasema safari ni safari, uwe unaenda mbale au kurudi nyuma, zote ni safari.

Vyuo vyetu vikuu Tanzania, nadhani vitakuwa vinaongoza katika kutengeneza maprofesa mchundo. Mfuatilie Mkumbo, Kabudi, Lipumba, n.k., bila shaka utagundua tulivyo na uwezo mkubwa wa kutengeneza maprofesa ambao hawapatikani mahali pengine popote, isipokuwa Tanzania.
 
Profesa Mchundo!
 
CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia?

Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati wenzetu majirani miaka kadhaa nyuma 2018 walizindua Setellite yao kwa kushirikiana na Japan.

Kweli sie kutengeneza Trela la mizigo ni suala la kitaifa wakati hayo mambo yalikuwa yanaweza kuwa yanazalishwa na vyuo vya VETA huko vijijini?

Hii ni dhahiri kuwa CCM kwa nyakati hizi sio nyakati zake na sio tu kuwa CHAMA TAWALA hata kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI haistahili, zaidi ya kuwa chama marehemu au kikundi cha vikoba au chama cha kufa na kuzikana.

View attachment 1846428View attachment 1846429
Hawa jamaa hata aibu huwa hawana?
 
Mafundi bodi wanayatengeneza hayo matela kila siku, wala siyo jambo geni...
 
CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia?

Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati wenzetu majirani miaka kadhaa nyuma 2018 walizindua Setellite yao kwa kushirikiana na Japan.

Mkuu kila mtu anajikuna pale mkono wake unapofikia, sisi mkono wetu bado ni mfupi.
 
Back
Top Bottom