Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dhana ya utumishi wa Uma inaanzia pale mtu anapewa dhamana kusimamia Jambo kwa masilahi mapana ya jamii au wananchi kwa ujumla wake. Dhamana hii huundiwa taratibu na kanuni kwa misingi ya...
1 Reactions
3 Replies
793 Views
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu leo ameshiriki Kongamano kubwa la Jitimah lililofanyika Jimboni kwake. Amewachangia Waislamu wa Mtavira na Ihanja Mifuko 300 ya cement na...
1 Reactions
1 Replies
900 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema fedha zilizochukuliwa kimakosa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika akaunti za benki, zitarejeshwa “anaweza mtu kodi yake...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamuni wanangu janvini. Japo Hayati John Pombe Magufuli hatarudi kujitetea tokana na madongo anayorushiwa na wasahaulifu wa nchi yetu, anao watetezi yaani legacy yake na Watanzania wenye...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Wakati wanatupa habari juu ya hotuba ya Mbowe kwa taifa kwenye uzi ule nilimpa tahadhari Mbowe awe smart tupo ambao tunasoma upepo. Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni imejaa ubinafsi...
11 Reactions
81 Replies
7K Views
Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa...
3 Reactions
5 Replies
944 Views
Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa. Kila kitu kipo...
1 Reactions
2 Replies
678 Views
Ila hii nchi sometimes naomba watu wanyooshwe tu ili wawe na akili otherwise bila mbongo kumnyoosha hawezi kuwa na akili Ni mwanza hiyo ushuru umepaa, Mara dufu wengine walime kwenye mazingira...
15 Reactions
56 Replies
4K Views
Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa mtendaji wetu mkuu wa serikali yetu tukufu inayo ongozwa na Mama yetu mpendwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nakuomba kwa moyo mweupe na wa huruma kubwa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wabunge ndio wanastahili kulipa hiii Kodi manake wanapata pesa bila jasho. Ingependeza kwenye milioni 12 wanazopokea kwa mwezi kila mmoja akatwe milioni moja ya Kodi ya uzalendo.
4 Reactions
7 Replies
951 Views
Mwandishi: Kwanini unanisalimia hivi(Alimpa mkono, Diallo akampa gonga), wakati fulani tulipita hapa tukawa tunaamini tumeshatoka kwenye Covid. Awamu iliyopita tulikuwa tunasali na kumuomba Mungu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi akili imeelemea kwenye kudai Katiba Mpya. Hili ni wazo jema sana. Lakini tumewaza vizuri vita tunayoipigana? Silaha tunazotumia? Tuko tayari na matokeo ya vita hii? Nimemsikikiza wakili...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25. Mwili wa Rais Magufuli...
7 Reactions
117 Replies
12K Views
Ndugu wana-JF habarini. Mimi kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu, mnalichukuliaje suala la mgombea urais kupitia CCM kumwambia Antony Diallo kuwa atamlinda saaana kupita maelezo pindi...
1 Reactions
62 Replies
11K Views
Ninashawishika sasa kuamini kwamba lawama tunazomtwisha Rais ni kumuonea. Rais anatokea kwenye jamii, anayoyafanya ndiyo desturi za jamii hiyo. Mnapoona tunapata rais ambaye anakandamiza...
1 Reactions
4 Replies
954 Views
Ukimuangalia Mpango na Mwigulu wote akili zao zinafanana, wanachofikiri kila siku ni kuongeza kodi. Kwa akili hizi hatuwezi kwenda mahali popote. Tanzania ili iendelee lazima tuwe na ubunifu na...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM...
11 Reactions
58 Replies
5K Views
Habari za muda huu Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari. Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom