Wakuu, hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii, anaanza kuleta masihara.
Kwa Wamarekani Weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amelala nyumbani kwa Balozi Ndugu Iddi Mwaibaje mwenyekiti wa shina namba 1 Kata ya Chapwa Jimbo la Tunduma...
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....
kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na...
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya...
Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na...
Igwe wanaJF
Nimepitia maktaba yangu ya mambo ya siasa nimegundua pasi na shaka siku Tundu Lissu mwaka 2014 akikutana na Tundu Lissu wa mwaka 2018 'watauana' .
Tundu (2014) hakuwa kwenye gubu...
Ndugu zangu,
Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala...
Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini
Tuachane...
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.
Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga...
"Nchi isiyeheshimu HAKI za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu. Mnauwa watu, mnawapiga watu visu na risasi, mnateka wenzenu, mnawafunga wenzenu bila ya kufuata utaratibu halafu mnakereka...
Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo.
Ukienda kanisani...
Madereva wa vyombo vya moto mkoani Songwe wanakimbilia Zambia kununua diesel na petrol
Madereva hao wamedai Zambia bei ya mafuta ni nafuu.
Source: ITV habari!
Naam mnamo mwaka 2015 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Rais wa wakati Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alimuombea nafasi ya upendeleo wa kibiashara Mh. Antony Dialo kwa mgombea wa urais wa wakati Hayati...
Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza...
CCM haijawahipo kubadili mwenyekiti wa Chama zaidi ya anaekuwa Raisi ndie awe mwenyekiti wa Chama, hivi ni kweli ndivyo inavyotakiwa? Utaratibu huo mmeutoa wapi?
Sasa kuna watu wanapiga makelele...
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la...
Wadau nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee...!
Najikita moja kwa moja kwenye mada husika, juu ya yanayoendelea huko mashuleni (shule za msingi)
Mimi nipo haoa mkoani (nausitiri), juzi...
Wakuu hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii. Anaanza kuleta masihara. Kwa wamarekani weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana...
Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.
Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko.
Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba...
Nilikuwa na maongezi ya simu na mpya wangu.
Aliniuliza kwanini mtu akionekana ana mali, hasa kama ni mtumishi wa serikali huishia kuchunguzwa? Kwani serikali inataka watu wake waishie kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.