Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo
KARIAKOO
Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza...
Ndugu zangu,
Mdogo wangu Mwigulu Nchemba umetegwa na umetegeka. Kuna sera za masuala ya fedha ambazo katu mtu makini hawezi kufanya wewe unafanya ili upate umaarufu na sio kwa maslahi ya nchi...
Uchumi wa Marekani kweli ni wa kuja kupigana vita vya kiuchumi na nchi ambayo inasaidiwa kujengewa matundu ya vyoo?Nchi ambayo ina import wembe kwamba bado haina techinolojia ya kuunda wembe, nchi...
Profesa Kitila Mkumbo
Mchakato wa kuandika Katiba Mpya umeingia katika hatua muhimu baada ya marais Jakaya Kikwete na Dk Ali Mohamed Shein kukabidhiwa rasmi Katiba inayopendekezwa.
Kisheria...
Mamlaka ya mapato Tanzania inadaiwa kuifungia Radio Free Africa ya Mwanza inayomilikiwa na Antony Dialo kutokana na kudaiwa kodi kubwa.
Ofisi za Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo...
Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za...
Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa...
Hapa kijijini bado tunasubiri ile ahadi ya Milioni 50, sasa wale wa Mjini Kawe sijui weshanufaika?
Hakuna Chama kilichojaa viongozi waongo kama CCM wao ni ahadi kwa kwenda mbele,wameshaona...
Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya
1. Haki
2. Ukweli na usuluhishi
3. Mabadiliko...
1. (S) SUMMARY. As suspected, the Kikwete administration is facing civilian-military tensions: Tanzania's Chief of Defence Forces (CDF) is hindering the President and Minister of Defence's...
Ni wazi sasa hivi kwamba Katiba imekuwa ikifanyiwa maraekebisho ya mara kwa mara, kwa convenience ya watu na siyo manufaa ya moja kwa moja ya nchi.
Serikali ilipitisha miswaada na kupitisha...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.
Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima...
Baraza Kuu la Chadema litaketi muda wowote baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kumaliza ziara ya vikao vya ndani waliyoifanya zaidi ya mikoa 20 ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Pamoja na majukumu...
Nakumbusha tu kwa wakati tuliopo, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ndiye aliyeteua wafuatao:
1. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
2. Mkurugenzi wa uchaguzi
3. IGP
4. Jaji mkuu
5. Mkuu wa Majeshi...
Karibuni wenzangu tulongeya moyoni.
Nyerere na wenzake walipigania UHURU WA BENDERA, tukaupata. Akasema bado uhuru KAMILI.
Je, Tumeshaupata?
Kama uhuru kamili bado, ni kwa nini?
TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO.
Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake.
Siku Rais Samia alipochukua ofisi...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo kila mtu avae barakoa kwenye mikusanyiko, hivyo watu wachukue...
Habar wtz nimekaa kwa muda nikisubir nione wale watu wanao jiita watetezi wa wananch siku zote wakisema hata neno Moja kwa Hali inayo endelea sasaiv ila mpaka Sasa wapo kimia
Nashangaa wote walio...
Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.