Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni. Imejaa ubinafsi, lawama, majuto na umwamba, fitina na chuki

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,316
2,000
Wakati wanatupa habari juu ya hotuba ya Mbowe kwa taifa kwenye uzi ule nilimpa tahadhari Mbowe awe smart tupo ambao tunasoma upepo.

Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni imejaa ubinafsi, lawama, majuto na umwamba plus fitina na chuki.

Leo ndo nimeamini Mbowe hayuko serious na taifa kachukuliwa sana na emotions na huruka zake tu.

Mbowe huyu tukisema tumchambue mabaya yake yapo kibao vitabu vitajaa, kuna watu wengi wamekimbia CHADEMA kwa ajili yake!! Lakini leo kasahau. Sikusidii kuwataja.

Mimi nimeconfirm rasmi leo tusije kujidanganya kwenda kwenye chama chake kwa hasira ya yanayoendelea ya wasaliti wa mwendazake. Tuendelee kuvuta subira huku tukisoma nani ni nani, na mwisho kwa pamoja tutajuzana wapi kunafaa.

Mungu aendelee kuwatunza mataga wenzangu.
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
7,236
2,000
Usipokubali kubadilka, nakuhakikishia utakuja kufa njaa! Huyo unaye endelea kumtukuza na kunwabudu, ameshabebwa kitambo na Baba wa Mbinguni!

Ni wakati wenu huu sasa na nyinyi kula kwa jasho kama sisi.
 

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,316
2,000
Usipokubali kubadilka, nakuhakikishia utakuja kufa njaa! Huyo unaye endelea kumtukuza na kunwabudu, ameshabebwa kitambo na Baba wa Mbinguni!

Ni wakati wenu huu sasa na nyinyi kula kwa jasho kama sisi.
Mnataka vitu vya kuokota mtaendelea kupelekwa nginjanginja jipeni matumaini ya uwongo tu.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,224
2,000
MJGMBW.jpg


MJGSLH.jpg
 

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,316
2,000
Chief huna tofauti na huyo aliyeenda zake, unaacha kumuonea huruma mtu aliyebambikiwa kodi ya Bil.2 na kufungiwa acc zake, unamtetea Mnyanyasaji, kweli wenzetu mlifaidi sana mezani kwa mtukufu, ila nikupe pole maana najua hali munayopitia kwa sasa.
Yaani Mimi nina kiwelding machine tu nalipa kodi sembuse yeye Mbowe asilipe wakati anafanya mibiashara mikubwa!
 

malang0

Senior Member
Apr 7, 2021
142
250
Kwa namna ambavyo uliunga juhudi za mwendazake akiwa hai, kwanini usiimuunge mkono pia akiwa kaenda zake??

Unaweza kutumia kitanzi, au sumu au kujirusha gorofani...

Sisi tutakuombea kama tulivyomuombea
na atapata nafasi huko kiranja wa malaika atampokeaa
 

Nsimbinso

Senior Member
Dec 15, 2020
178
250
We jamaa... Umeelewa kweli unachojaribu kutushawishi tuelewe?...

Soma bandiko lako halafu comment kama mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, uone kama hutamponda na kumdharau mtoa mada...

Binafsi sina chama... Ila ni muumini wa haki... Weka utaga pembeni vaa sense za kibinadamu... Maana sidhani kama ile bendi yenu ya praise team itaendelea kupewa posho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom