Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona CHADEMA wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye Taasisi mbalimbali za kijamii Nadhani sasa hata Vyuo Vikuu siasa itarejea kwa kasi. Hongereni CCT kwa uchaguzi...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye athibitisha mkoa wake kuwa na wagonjwa 12 wa CoVID-19, RC Andengenye amesema kuwa miongoni mwao 6 wanatibiwa hospitalini na wengine wamejitenga nyumbani...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Unakuwa na mwenyekiti wa chama mkoa mnafiki kama Diallo unategemea nini? Kama yeye ni kiongozi straightfoward alikuwa wapi kumueleza ukweli hayati Magufuli kuwa aliongoza kwa mabavu ? Alikuwa...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Salaam, Inashangaza bei ya mafuta ya petroli nchini Zambia kuwa nafuu kuliko hapa Tanzania. Inaeleweka Zambia hawana bandari hivyo wanapokea shehena ya mafuta kutoka Bongo, ifike wakati serikali...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nafikiri ni muda sahihi sasa wa Serikali kulazimisha usafiri wa umma kubeba level seat Ili si tu kukabiliana na COVID bali hata magonjwa mengine ikiwamo TB,Magonjwa yote ya kuambukiza kuanzia...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali...
14 Reactions
262 Replies
32K Views
Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Wanabodi, Huu ni utafiti mdogo nilioufanya katika mwenendo wa fedha ndani ya serikali ya Rais JPM. Ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya mwisho, serikali ya Rais Kikwete iliajiri takribani...
21 Reactions
52 Replies
6K Views
Rais Magufuli amekemea vitendo vya uvuvi haramu katika Ziwa Victoria huku akiunga mkono jitihada ambazo zimekuwa zikifanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina katika kukabiliana na tatizo...
9 Reactions
271 Replies
45K Views
Nitasema kwelii. Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku. Hii si...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Anaandika Mh Zitto Kabwe: 69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine? 1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao. 2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Nina uhakika asilimia 100 kuwa Mhe. Samia Hassan Suluhu akiamua kukomaa na kuleta Katiba Mpya basi 2025 ni lazima atashinda - tena atashinda kwa kishindo sana. Atakuwa akiongea tu kuwa yeye ni...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi...
6 Reactions
87 Replies
8K Views
Asikudanganye MTU hata kama ukiongeza mshahara lakini ukaongeza bei ya mafuta ni kama umechukua ulichoongeza. Nani humu JF anazifahamu kodi zilizomo kwenye mafuta ya petroli na mafuta ya kula...
2 Reactions
5 Replies
942 Views
Kwa kauli alizozitoa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza jana kwenye kipindi cha Star TV Big Agenda bila shaka ni kweli kabisa ndani ya CCM kulikuwa na mafisadi ya kutisha na Magufuli aliyabananga...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Hio ndio hali inayoendelea. Rais Mwinyi alikuja na nia njema kabisa akitaka kujitofautisha na watangulizi wake. Nia hio ilionekana mapema. Sasa watu wanajiuliza kulikoni ile spidi haionekani...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo KARIAKOO Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza...
32 Reactions
305 Replies
28K Views
Ndugu zangu, Mdogo wangu Mwigulu Nchemba umetegwa na umetegeka. Kuna sera za masuala ya fedha ambazo katu mtu makini hawezi kufanya wewe unafanya ili upate umaarufu na sio kwa maslahi ya nchi...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom