Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Nitasema kwelii.
Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku.
Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita yao, machafuko yao yaaani hawako stable politically still wafanyabiashara sio tu wenyewe ma-bar ila wauza vyakula biashara hifabyika 24/7.
Kazi ya polisi ni kuporovide ulinzi ila kibongo bongo polisi nao kama wafanyakazi wa benki tu ikifika saa 12 jioni nao waenda lala. 😀😀
Mkuu wa mkoa wa DSM plz, liangalie hii kwa jicho la tatu.