CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Maadam Uzi umeachwa basi bila shaka lazima tuujadili , ni hivi , waambie Malasusa na Pengo wakate rufaa
 
Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hii tabia inatakiwa ipigwe marufuku kabisa. Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kila sehemu ni siasa. Najua Chadema wanaiga kwa CCM tu ila siyo kitu cha kuendekeza hiki.
 
... wewe jamaa sometimes! Hilo la Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhudhuria mkutano wa kidini na kutoa hotuba iliyorushwa live duniani kote hujaliona ila umeona Chadema ikijipenyeza tena kwa hisia zako tu! Unafiki kitu kibaya sana.
Aliyehudhuria ni Rais wa JMT siyo mwenyekiti wa CCM bwashee!
 
Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Yohana ulipotea kwa muda hapa jukwaani, chama kilikupeleka Kivukoni kuongeza ujuzi katika mambo ya propaganda nini?
 
Back
Top Bottom