#COVID19 Zitto: Waziri wa Afya afukuzwe kazi sababu haaminiki na aliongoza kampeni ya watu kunywa sumu

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
E58ptoCXMAU2zR5.jpg

Anaandika Mh Zitto Kabwe:

69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?

1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.

2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.

3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI

Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.

Tuendelee kujilinda

Lakini pia Mwanaharakati Maria Sarungi aliongezea katika ukurasa wake:
E5_WYSkWYAAAgMF.jpg
 
Dorotia mambo yake valuvalu sana,hii wizara na naibu wake huwa hawaeleweki.

Taarifa hazijitoshelezi kwa umma.

Kama vipi wapitishie taarifa kwa msemaji wa serikali ili amdadisi kwanza kabla ya walaji.
 
Yaani ni wote hawafai kuanzia Raisi mpaka wasaidizi wake. Waliorithi madaraka..!
 
halafu unakuta mijitu imekusanyika kwenye maeneo mbalimbali, kwenye mabasi n.k huku wakipumuliana na kupigiana chafya!!!
Jamani eeeh! Vaeni barakoa kwa usahihi, tuache ubishi tutakwisha, tutapupitika!!
tuvae barakoa kwa usahihi, tusivae barakoa kwenye videvu, kichani, au kuijaza mdomoni.
Vaa barakoa saizi yako usivae barakoa ya mtoto mdogo, vaa barakoa kwa usahihi.
 
Kiukweli hili tatizo halihitaji waziri mwenye ndimi mbili, waziri huyuhuyu aliwadanganya watu na sasa anakuja vingine, back Ummy Mwalimu, aliitumikia nafasi yake vilivyo
 
Anaandika Mh Zitto Kabwe:

69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?

1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.

2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.

3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI

Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.

Tuendelee kujilinda
Fukuza mawaziri wote, they are useless Kama mbu. U Zitto u told us you will name all Tanzanians with millions in Swiss banks, where is the list? Are you also not useless like any other politicians?
 
Mama anaupiga mwingi ila hapo kwa dk gwajima kachemsha,kuna sabotage kubwa sana anafanyiwa,dk gwajima bado anaabudu mzimu wa magufuli
 
Mzee unazo takwimu halisi?

Kuna mkoa fulani kule kanda pendwa, katika wakuu 17 wa idara waliopimwa, 11 wamekutwa +ve UVIKO.

Anzia hapo ukifahamu pia kuwa Moshi nako kupo hivi:

Anaandika Mh Zitto Kabwe:

69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?

1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.

2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.

3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI

Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.

Tuendelee kujilinda
😆😆😆😆

Mtakatifu Kabudi huyu hapa

2393157_IMG_20200508_164036.jpg
2393187_20200508_170418.jpg
 
Back
Top Bottom