Rais Samia kuwa makini na watu aina ya Anthony Diallo

Uncle Araali

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
943
1,256
Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ndugu Anthony Diallo kuamua kukisema vibaya chama na viongozi wake ni kitendo kibaya kwa maadili na ustawi wa chama.

Watu wa aina hii wanafanya hivi wakidhani wewe utalinda maslahi yao na kuwa upande wao. Ukweli ni kuwa watu hawa katika utawala uliopita walibanwa kwa sababu ni wanafiki na walihujumu uchumi kwa kukwepa kodi.

Rais, usikubali watu hawa wajiweke karibu na wewe, watakuharibia. Watu aina ya Diallo hawapaswi kuendelea kuwa viongozi wa chama kwa ngazi yoyote.

Nakuamini sana Rais wangu, usikubali kuchezewa na kuwa karibu na mafisadi hawa.
 
Diallo jiuzulu , kwa uliyoyasema baba jiuzulu...! wala hakuna mantiki yoyote ya wewe kuendelea kujiita m/kiti wa ccm mkoa....jiuzulu baba...waachie ccm yao....! ukiendelea kubakia basi wewe ni ' mnafiki'..!
 
Unawafundisha wenyeviti wako nini chakufanya.
Hata wewe unawasema viongozi wasitaafu ambao walikuwa wanampa vyeo Diallo huku wanamuona fisadi.

Waheshimu wenyeviti wako.
Diallo ametumia Imani ya chama chake.Mnayakuza tu kwakuwa kasema Diallo,mbona wapo wengi tu wanasema mitaani na niwanaccm wenzetu.
 
Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ndugu Anthony Diallo kuamua kukisema vibaya chama na viongozi wake ni kitendo kibaya kwa maadili na ustawi wa chama.

Watu wa aina hii wanafanya hivi wakidhani wewe utalinda maslahi yao na kuwa upande wao. Ukweli ni kuwa watu hawa katika utawala uliopita walibanwa kwa sababu ni wanafiki na walihujumu uchumi kwa kukwepa kodi.

Rais, usikubali watu hawa wajiweke karibu na wewe, watakuharibia. Watu aina ya Diallo hawapaswi kuendelea kuwa viongozi wa chama kwa ngazi yoyote.

Nakuamini sana Rais wangu, usikubali kuchezewa na kuwa karibu na mafisadi hawa.
Umeandika ujinga hapa! Jibu hoja zake sio kushambulia personality ya mtu.kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni,hata nje ya vikao vya Chama.
 
Unawafundisha wenyeviti wako nini chakufanya.
Hata wewe unawasema viongozi wasitaafu ambao walikuwa wanampa vyeo Diallo huku wanamuona fisadi.

Waheshimu wenyeviti wako.
Diallo ametumia Imani ya chama chake.Mnayakuza tu kwakuwa kasema Diallo,mbona wapo wengi tu wanasema mitaani na niwanaccm wenzetu.
Hawataki kuambiwa ukweli wanataka kusifiwa
 
Daaah maccm mapuudhi Sana kumbe yalituwekea kiongozi KICHAAA
Ndio maana nchi ilikwama kumbe tulikuwa tunaongozwa na mwendawazimu

Hebu rudi kwanza darasani ukajifunze somo la mwandiko.Comment inatia kichefu chefu hata kuisoma
 
Unawafundisha wenyeviti wako nini chakufanya.
Hata wewe unawasema viongozi wasitaafu ambao walikuwa wanampa vyeo Diallo huku wanamuona fisadi.

Waheshimu wenyeviti wako.
Diallo ametumia Imani ya chama chake.Mnayakuza tu kwakuwa kasema Diallo,mbona wapo wengi tu wanasema mitaani na niwanaccm wenzetu.
Sisi tuliwafukuza uanachama Zitto na Kitila kwa sababu ya kuchezea chama na mwenyekiti wetu.CCM nao wahakikishe chama hakidhalilishwi na akina Diallo.
 
Umeandika ujinga hapa! Jibu hoja zake sio kushambulia personality ya mtu.kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni,hata nje ya vikao vya Chama.
Hakuna hoja yoyote hapo,ni umbea,ujinga na unafiki.Ingekuwepo hoja ningejibu.Kama wewe hapo uliona hoja,basi huna tofauti na huyo mnafiki mwenzako.
 
Mimi mzima kabisa
Ila kwa mujibu wa Mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza jiwe alikuwa KICHAA
Kama umekasirika mfuate huko motoni alipo sasahivi kumaaaa wewe
Huna akili,unaandika matusi.Siwezi kubishana na zuzu.
 
Dualo hajazalilisha chama
Amesema ukweli
Sasa Kama mtu anafaili Mirembe ukisema hivyo ni kuzalilisha chama
CCM ni lichama la hivyo sana lilituletea rais KICHAA
Wewe hata Kiswahili hujui kukiandika,sitakujibu tena maana hata akili ndogo tu huna
 
Back
Top Bottom