Wabunge hawawaogopi Bashiru Ally na Humprey Polepole, Kweli Dunia duara

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Wabunge wa CCM mnachowafanya Bashiru na Humprey Polepole ni kuwadhalilisha, Kumbukeni hawa watu ndio mliokuwa mnawaheshimu kwa kuwa karibu na Mwenyekiti.

Yanayoendelea Bungeni kunanga miradi ya Bwawa la maji kuwa haifai bali Gesi ndio umeme wa kisasa, Bashiru Ally kaufyata kimya anaogopa hata kuinua mdomo kuchangia na kutetea au kuwatisha wabunge kama zamani kuwa wa jadili kwa staha.

Yanayoendelea Bungeni kunanga mtu mmoja kufanya maamuzi bila kufuata taratibu za manunuzi, Humphrey na Bashiru wameufyata kimya. Enzi zao wangewaita hao wabunge na kuwatisha kuwafukuza ubunge au kuwajadili kwenye vikao vya maadili vya chama

Hakika mbwembwe zao Bashiru na Polepole zimefika tamati na kuhitimishwa, Sasa wamegeuka waoga kama konokono anavyoficha kichwa na pembe zake akihisi hatari

Na iwe Funzo na Fundisho kwa watu kujiona wenye nchi, Tanzania ni Kubwa kuliko mtu, Tutaishi na waliishi wakaondoka

Tanzania walikuwepo mamwamba kama Chief Mkwawa, Chief Songea lakini wote waliondoka Tanzania ipo.

Hivi kuna mtu alikuwa mwamba na kiburi wenye kuteka, kutwaa maeneo kama Chief Mkwawa na Chief Songea lakini waliacha Tanzania

Wewe Polepole na Bashiru ni nani?
 
Yanayoendelea Bungeni kunanga miradi ya Bwawa la maji kuwa haifai bali Gesi ndio umeme wa kisasa, Bashiru Ally kaufyata kimya anaogopa hata kuinua mdomo kuchangia na kutetea au kuwatisha wabunge kama zamani kuwa wa jadili kwa staha

Yanayoendelea Bungeni kunanga mtu mmoja kufanya maamuzi bila kufuta taratibu za manunuzi, Humprey na Bashiru wameufyata kimya

Hakika mbwembwe zao Bashiru na Polepole zimefika tamati na kuhitimishwa, Sasa wamegeuka waoga kama konokono anavyoficha kichwa na pembe zake akihisi hatari

Na iwe Funzo na Fundisho kwa watu kujiona wenye nchi, Tanzania ni Kubwa kuliko mtu, Tutaishi na waliishi wakaondoka

Tanzania walikuwepo mamwamba kama Chief Mkwawa, Chief Songea lakini wote waliondoka Tanzania ipo

Hivi kuna mtu alikuwa mwamba na kiburi wenye kuteka, kutwaa maeneo kama Chief Mkwawa na Chief Songea lakini waliacha Tanzania

Wewe Polepole na Bashiru ni nani?
Wanasemaga hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
wabunge wa ccm mnachowafanya Bashiru na Humprey Polepole ni kuwadhalilisha, Kumbukeni hawa watu ndio mliokuwa mnawaheshimu kwa kuwa karibu na mwenyekiti

Yanayoendelea Bungeni kunanga miradi ya Bwawa la maji kuwa haifai bali Gesi ndio umeme wa kisasa, Bashiru Ally kaufyata kimya anaogopa hata kuinua mdomo kuchangia na kutetea au kuwatisha wabunge kama zamani kuwa wa jadili kwa staha

Yanayoendelea Bungeni kunanga mtu mmoja kufanya maamuzi bila kufutaa taratibu za manunuzi, Humprey na Bashiru wameufyata kimya. Enzi zao wangewaita hao wabunge na kuwatisha kuwafukuza ubunge au kuwajadili kwenye vikao vya maadili vya chama

JamiiForums-975766911.jpg
 
nimemuona leo polepole akichangia,ahahaha anatia huruma!

ahahaha.

Gekul ni mkubwa kuliko Bashiru.

Anauliza maswali ya msingi na nyongeza ni Bashiru.

Anayeyajibu maswali hayo ni Gekul.

ahahaha.

Huna akili mbona yesu alikuwa mungu na kufufua watu na kuponya wagonjwa na vipofu lakini alishikwa na kutundikwa juu ya mti huku watu wakijaaa na kumuonea huruma itakuwa bashiri unamuonea
 
wabunge wa ccm mnachowafanya Bashiru na Humprey Polepole ni kuwadhalilisha, Kumbukeni hawa watu ndio mliokuwa mnawaheshimu kwa kuwa karibu na mwenyekiti

Yanayoendelea Bungeni kunanga miradi ya Bwawa la maji kuwa haifai bali Gesi ndio umeme wa kisasa, Bashiru Ally kaufyata kimya anaogopa hata kuinua mdomo kuchangia na kutetea au kuwatisha wabunge kama zamani kuwa wa jadili kwa staha

Yanayoendelea Bungeni kunanga mtu mmoja kufanya maamuzi bila kufutaa taratibu za manunuzi, Humprey na Bashiru wameufyata kimya. Enzi zao wangewaita hao wabunge na kuwatisha kuwafukuza ubunge au kuwajadili kwenye vikao vya maadili vya chama

Hakika mbwembwe zao Bashiru na Polepole zimefika tamati na kuhitimishwa, Sasa wamegeuka waoga kama konokono anavyoficha kichwa na pembe zake akihisi hatari

Na iwe Funzo na Fundisho kwa watu kujiona wenye nchi, Tanzania ni Kubwa kuliko mtu, Tutaishi na waliishi wakaondoka

Tanzania walikuwepo mamwamba kama Chief Mkwawa, Chief Songea lakini wote waliondoka Tanzania ipo

Hivi kuna mtu alikuwa mwamba na kiburi wenye kuteka, kutwaa maeneo kama Chief Mkwawa na Chief Songea lakini waliacha Tanzania

Wewe Polepole na Bashiru ni nani?
Mimi nawaona hawajafyata na hawaogopi isipokuwa wanasubiri wakti muafaka au "the right moment."

Inafahamika mmewapa ubunge wa kuteuliwa ili muweze kuwadhibiti.

Nyie subirini msihangaike.
 
Back
Top Bottom