Maalum kwako Rais Samia, Makamu Dkt. Mpango na Waziri Mkuu Majaliwa kwa kilichotokea usiku katika Kitovu cha Biashara Dar es Salaam

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,881
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
 
Du mkuu vyema Kama ungetoa hint zaidi ujinga huu ukakomeshwa.

Pili uhuni huu Kama kweli ulipangwa Kuna haja serikali hii ikaonyesha uwepo wa mamlaka kwa kuchukua hatua Kali iwe fundisho kwa wengine pasipo kumwonea mtu huruma. Hata hivyo haki itendeke
 
Nimeshatoa hapo hiyo 'hint' yako unataka nitoe mara ngapi labda? Wale wote waliokuwa wakiunda Bodi ya Soko ambayo ilivunjwa rasmi na Mheshimiwa Rais Samia ndiyo Wahusika na naomba wakamatwe upesi sana na Wafilisiwe Pesa zao na Utajiri wao ili Pesa hizo zisaidie katika Ujenzi wa Soko hilo kwa sehemu zilizoharibika.
 
Mleta hoja una upendo na umeumia sana.
Unajua vizuri mchezo na unawajua waliokuwa natamaa yakuendelea kuwa kwenye bodi.
Ushauri wangu.
Nenda kwa DSO au RSO utakuwa umeokoa ujinga huo.
Kama GENTAMYCINE nasomwa 24/7 na Rais Samia na Watu wa Ikulu na ile Idara yake Muhimu ( Maalum ) ya Makao Makuu Oysterbay mkabala na St. Peters Church ndiyo hawa sijui DSO na RSO wako hawanisomi?

Nimeshawarahisishia Kazi yao hapo Ok?
 
Wa mama wenye mikopo ya biashara wanalia kwa uchungu mkubwa.

Mungu awabariki Na kuwaondelea simanzi.
Lengo Kuu ni Kusababisha Hasara kubwa, Kukomoa, Kulipiza Kisasi na hasa hasa Kumfitinisha Mheshimiwa Rais Samia na Wafanyabiashara nchini ( hasa Wamachinga ) ili aonekane hawajali kama ambavyo Kipenzi chao Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa akiwapenda na Kuwavimbisha Vichwa na kuwapa Viburi na Jeuri nyingi.
 
Nimeshatoa hapo hiyo 'hint' yako unataka nitoe mara ngapi labda? Wale wote waliokuwa wakiunda Bodi ya Soko ambayo ilivunjwa rasmi na Mheshimiwa Rais Samia ndiyo Wahusika na naomba wakamatwe upesi sana na Wafilisiwe Pesa zao na Utajiri wao ili Pesa hizo zisaidie katika Ujenzi wa Soko hilo kwa sehemu zilizoharibika.
Mmmmmhhh!!!! doing this for your own motherland just to attain your personal gains.... ikiwa ndiyo hivyo kama unavyosema basi ni budi ikawa fundisho kwa wengine, maana kuna watu wanaweza kupoteza maisha kwa hasara waliyoipata
 
Wewe ni mzalendo wa Rwanda au wa Tanzania? Mara nyingi kwa upopoma wako unajitambulisha Kama jasusi la kitusi.
 
Lengo Kuu ni Kusababisha Hasara kubwa, Kukomoa, Kulipiza Kisasi na hasa hasa Kumfitinisha Mheshimiwa Rais Samia na Wafanyabiashara nchini ( hasa Wamachinga ) ili aonekane hawajali kama ambavyo Kipenzi chao Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa akiwapenda na Kuwavimbisha Vichwa na kuwapa Viburi na Jeuri nyingi.
Ni ukatili wa hali ya juu. Kama ni kweli kweli ikibainika wamefanya hayo wachukuliwe hatua Kali
 
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na Kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
As i expected.

Ulisema utazinguana na watakaokuzingua.

Anza na hawa...! Very seriously

Usicheze na nyani shambani watakusumbua, mwisho utavuna mabua.
 
Back
Top Bottom