Ukweli ni kwamba, yanayoendelea kwenye hii nchi yanaumza.
Lakini kabla hatujatupa lawama kwa Amiri Jeshi mkuu lazima tujue kwanza alipo na tujue nini msimamo wake kwenye mambo yanayowafanya...
Awamu ya sita na mwendelezo wa awamu ya tano ya mwendazake imefika “shingoni” mwa mwenyekiti FREEMAN AIKAELI MBOWE.
Mashtaka ya kigaidi aliyopewa jana ni mwendelezo wa vitendo vya kikandamizaji...
Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya.
Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko.
Hili si...
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.
Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya...
Ile kauli ya 'anaupiga mwingi' inaweza kuwa na ukweli kuliko tunavyodhani. Yaani ni mchakamchaka wa kufa mtu.
Ikitokea tu kuna mjadala wa moto unaendelea basi ndani ya siku mbili tatu unakua...
Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process...
Habari wana JF na Watanzania kwa Ujumla.
Kama ilivo wazi kwa wadau na wanaharakati wa Siasa hapa inchini, Moja ya eneo of Great interest katika Masuala ya Siasa ni kubadilishwa/kurekebishwa kwa...
Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi.
Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya.
Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi...
The Statue of a limping Achilles trying to pull an arrow from his injured heel.
Dear President Samia, after having assessed your performance for months now, I am about to make a rounded...
Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha...
Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe
Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara waliokimbilia Nakonde, Zambia, kwa maelezo kuwa huko kuna unafuu wa kodi kuliko Tunduma, Tanzania warejee, na malalamiko yao yatafanyiwa...
Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa...
Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA.
Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie...
Tukiwa bado tunatafakari mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, hali inaonekana sio shwali ndani ya chama hicho.
Nasema hali sio shwari, kwani kila mtu...
June 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia.
WanaCcm wakapiga kelele kudai kuwa Sabaya ametolewa...
Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"
Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the...
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji...