Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,664
218,151
Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .

Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote

Tayari_Mwenyekiti_wetu_@chadematzofficial_Taifa_@freemanmbowetz_ametua_Mwanza_usiku_huu,_ikumb...jpg
 
😂😂😂😂 mpigania uhuru anaetamba Africa !!!!! Pole sana Africa sio ya mchezomchezo
 
Back
Top Bottom