Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
8 Reactions
92 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake...
6 Reactions
88 Replies
7K Views
Kwa asili, Mtanzania hapendi Shari na mamlaka, kiasili Mtanzania anapenda kueleweshwa, tena taratibu na umpe muda was kutafakari, ukimvamia ndani ya miezi miwili umuimbie jambo, ukataka akuunge...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa taarifa juu ya ubadhilifu wa mamilioni ya fedha za Chama Cha walimu Tanzania CWT zilizotolewa na aliyekuwa mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Dodoma , Mwl.Clement Mahemba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kujua je washaabiki na wanachama wa CHADEMA ni vigeugeu au mandumilakuwili? Kwanini nauliza hivi...ACT Wazalendo walipokubali kujiunga SUKI, walitoa utetezi kuwa sio hisani bali ni ipo...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Unaweza sema Mamlaka ya Rais Samia imetekwa( State Capture) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Ni katiba mpya tena vyombo vya habari vya Kimataifa vinamtaja Rais Samia kama kinara wa kukandamiza haki na...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti...
62 Reactions
325 Replies
21K Views
Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6. Utaratibu huu ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ulimwenguni pote kama mwanasiasa anatoa hoja za wananchi hawezi kuziiliwa au kukamatwa bila wananchi kulalama. Maandamano ya wananchi hayatokani na mwanasiasa bali huletwa na...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani...
25 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais Magufuli anaapishwa leo katika sherehe itakayohudhuriwa na viongozi wa nchi zaidi ya 20 na mabalozi zaidi ya 80 kutoka sehemu mbalimbali duniani. Updates: Rais Magufuli ameshakula kiapo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika. Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya. Wahenga walisema kuwa...
15 Reactions
49 Replies
5K Views
Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine...
23 Reactions
242 Replies
16K Views
UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI WA KIDEMOKRASIA Kwa maana ya jumla, demokrasia ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
#ShuleKidogo Kuna watu wanadhani ukimpongeza mtu anapofanya vizuri basi hutakiwi kumkosoa kabisa hata akifanya vibaya. Hii ni AKILI NDOGO. Kuna watu wanadhani ukimkosoa mtu anapofanya vibaya basi...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Mtiririko hua uko hivi: Mhe. Spika anasema anayefuatia kuchangia ni Mheshimiwa kipele uchungu, mheshimiwa mbunge kipele uchungu anaanza: 1. Kwanza Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mfano mzuri ni tabia ya Mwigulu ambayo ilivumiliwa na marafiki kama akina Kikwete kwa sababu zao za kiharibifu hadi kupewa nafasi kubwa ktk CCM. JPM akamuondoa ktk uwaziri. Sasa ameingia rais...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa. Mh waziri hata watoto wa...
11 Reactions
184 Replies
25K Views
Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.kitu Ninachoona kinaendelea nchini kwa sasa ni harakati za wapinzani Kutaka KATIBA mpya,ni harakati za kupaza sauti kufanya makongamano ya katiba na...
0 Reactions
6 Replies
918 Views
Back
Top Bottom