Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la...
Leo kuanzia asubuhi tumeona namna Jeshi la Polisi lilivyopambana kuzuia Kongamano la Katiba Mpya, lililokuwa limeandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), wakati hali ya taharuki ikiwa...
Kuna tukio la tozo na lawama kwa rais wa jamuhuri ya Tanzania Samia Suluhu. Kiukweli asiraumiwe mama kuhusu tozo tunachotoa cha kwetu kwa ajiri ya maendeleo yetu.
Kama hakitufai basi tutumie njia...
Igweeeeeeee
Hakika waliosema fainali uzeeni hawakukosea kabisa pia matumizi mabaya ujanani malalamiko uzeeni ndio haya sasa ninayoyaona kwa Mbowe na hiyo chadema yake
Kwa sasa kinachomdrive...
Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu.
Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi.
Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu...
Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo...
Ni Jumapili tulivu ambayo ni siku ya Wanawake duniani.Katika Taifa letu Wanawake wa Chadema wanafanya Kongamano lao kubwa katika Ukumbi wa Mlimani City DSM.
Idadi kubwa ya wawakilishi wa Wanawake...
Mimi nawashangaa sana wanachama CHADEMA na wafuasi wao kwa ujumla kulalamika mitandaoni kwa kukamatwa kwa sababu ya kudai katiba mpya, katiba mpya duniani kote hupatikana kwa maumivu makali sana...
Wasalaam.
Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo...
MHANDISI KUNDO AWATAKA WATAALAM WA TEHAMA HALMASHAURI WATOSHE KATIKA NAFASI ZAO
Na Mwandishi Wetu, TANGA
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia taasisi yake ya Tume ya TEHAMA...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umeleta taharuki kubwa sana ndani na nje ya nchi, kufuatia kauli yako ya Jana kumsifu kinafiki Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Kwa kauli hii nathubutu kusema haina...
Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote.
Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha...
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh .Samia Suluhu Hassan anawatakia sikuu njema ya Eid El adhah watanzania wote .
Mh rais ametutaka tusheherekee kwa amani pia kule mwanza amatupatia zawadi...
Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu)...
Ningelipata nafasi ya kuonana na rais SSH ningelimuuma sikio na kumpa tahadhari kwamba awe kama ndege mbayuwayu (akili za kuambiwa achanganye na zake.
Rais SSH bado ana kundi kibwa Sana la watu...
Je haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo.
Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge.
Matokeo...
Tanzania imekuwa inapitia wakati mgumu. Inapitia kwenye utawala dhalimu, utawala wa kidikteta, utawala uliokosa maono na ubunifu. Ni viwango tu ndiyo hutofautiana. Kwa ujumla:
1) Hakuna utawala...
Ndugu Freeman!
Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.