Je! Kesho Mbowe kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za UGAIDI kuhadaa Dunia?

The Saver

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
202
650
Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe

Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi

Mama SASHA kachafuliwa saana na vyombo vya Maghalibi kaonekana kuminya haki na uhuru wa kujieleza, sasa kesho MBOWE ambaye ni kiongozi pekee aliyebaki atafikishwa mahakamani kwa tuuma za UGAIDI ili kuonyesha dunia kuwa Mbowe ni gaidi

Je bado mama anaupiga mwingi?

Yetu macho, SASHA Sijui unafail wapi
 
Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuuma za ugaidi

Mama SASHA kachafuliwa saana na vyombo vya maghalibi kaonekana kuminya haki na uhuru wa kujieleza sasa kesho MBOWE ambaye ni kiongozi pekee aliyebaki atafukishwa mahakamani kwa tuuma za UGAIDI ili kuonyesha dunia kuwa Mbowe ni gaidi

Je bado mama anaupiga mwingi?

Yetu macho, SASHA Sijui unafail wapi
Kuua viongozi wa kitaifa, ni kosa la UHAINI
 
Simwombei mabaya ila kama kuna mkono wake ni haki achukuliwe sheria
 
Mbowe anaweza kufikishwa mahakamani muda wowote

Wanafanya hivi maana vyombo vya habari vya nje vilikuwa vimeishaupasha ulimwengu

Yetu macho
 
Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe

Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi

Mama SASHA kachafuliwa saana na vyombo vya Maghalibi kaonekana kuminya haki na uhuru wa kujieleza, sasa kesho MBOWE ambaye ni kiongozi pekee aliyebaki atafikishwa mahakamani kwa tuuma za UGAIDI ili kuonyesha dunia kuwa Mbowe ni gaidi

Je bado mama anaupiga mwingi?

Yetu macho, SASHA Sijui unafail wapi
Kumfikisha Mahakamani ataacha kauli yake ya polisi kuacha kubambikia kesi na kuponya taifa, kujenga uchumi kutampa shida nchi wahisani itakuwa vigumu kutoa misaada.
 
Nchi inahitaji mahusiano ya kiuchumi na nchi nyingine ya "Nipe Nikupe". Huo ndio uchumi endelevu. Wahenga walinena mtegemea cha nduguye hufa maskini
 
Kosa walilofanya wachaga kushangilia kifo cha Magufuli litawagharimu hadi kizazi cha tatu.
#Gaidi
#corona imekita mizizi Moshi
 
Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe

Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi

Mama SASHA kachafuliwa saana na vyombo vya Maghalibi kaonekana kuminya haki na uhuru wa kujieleza, sasa kesho MBOWE ambaye ni kiongozi pekee aliyebaki atafikishwa mahakamani kwa tuuma za UGAIDI ili kuonyesha dunia kuwa Mbowe ni gaidi

Je bado mama anaupiga mwingi?

Yetu macho, SASHA Sijui unafail wapi
Tunaongozwa na shetani kabisa
 
2851283_20210716_160047.jpg
 
Back
Top Bottom