Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Samia alichoshindwa kuelewa ni kuwa pamoja na kuwa alikuwa ni Makamu wa Rais hakuumbwa kuwaza au kufikiri au kutenda au kunena au kufanya kitu chochote kama alivyokuwa Mtangulizi wake. Kwanza...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wakuu, mimi ni Mtanzania! Lakini haya mambo yananikera sana yanayofanywa na viongozi wetu wanaojiita wazalendo, 1: Kumuona mtanzania mwenzangu anakamatwa bila sababu ya msingi kisa tu ni...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Kimtazamo, kodi hii ni muhimu lakini haitekelezeki. Kodi hii huwezi kuita progressive maana imegusa maisha ya wananchi ambao hata basic needs ni shida. Yaani lower end zile charges ni exorbitant...
5 Reactions
10 Replies
931 Views
Tutakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu ili kushinikiza Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe aweze kuachiwa. Haya yamesemwa na John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatari.
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum. Bado...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Hawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi. Sasa tunafunga na...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata...
29 Reactions
97 Replies
6K Views
Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema...
47 Reactions
45 Replies
5K Views
Kinachotokea Leo hii Tanzania kuandikwa na kuripotiwa Duniani vibaya kwa miaka mitano mfululizo ni matokeo yakutoandaa viongozi na kukosekana kwa exposure; zamani viongozi walikuwa wanachanganywa...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Mara nyingi tunaongea humu, kuwa CCM ni chama chakavu kilichoishiwa mbinu za kutawala kistaarabu badala yake wanategemea nguvu za Dola kubakia madarakani. Nawaonya CCM tena, mjue kuwa Mungu yupo...
7 Reactions
15 Replies
857 Views
Kuna wakati unawaza na kujiuliza mambo mengi tu bila hata kupata chembe ya jibu , sasa unajiuliza hawa watu wanaojiita Maprofesa , Madaktari wa kisomi, Engineers wanafanya nini katika hili taifa...
4 Reactions
1 Replies
798 Views
Jamani naona mimi kuna somo moja ambalo bado napenda kujifunza kwenye hilo bunge la katiba nalo ni somo la utawala bora. Hivi hawa wajumbe walioenda kule wakachagua mawaziri (mwenyekiti-Sitta na...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela, amesema kamati ya ulinzi na usalama haitaruhusu mikutano ya hadhara itakayoombwa na vyama vya siasa wilayani humo. Pamoja na uamuzi huo, Kasesela...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam . muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu MUHIMU ...
15 Reactions
78 Replies
7K Views
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu? Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo. badala yake iweke akaunti...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Tundu Lissu, na viongozi wengine wa Chadema wanatoa matamko kuwa watu wangie barabarani wakapambane na polisi wakati wanajua leo ni ya Sikukuu ya Waislam. Mmeshindwa hata kuheshimu...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom