Rais Samia Suluhu Hassan amesema amemteua Dr Mpango kama makamu wa Rais kwa sababu ni mtaalamu wa uchumi na kwamba atamsaidia katika maswala ya uchumi na fedha.
Rais Samia amesema inaeleweka kuwa...
Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa.
Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa...
Bony Mwaitege ni mwombaji wa nyimbo za injili lakini ni rafiki wa karibu sana wa Mwigulu Nchemba. Katika kipindi hiki Cha mawimbi makali yanayomwelemea Mwigulu kuna mzunguko wa wimbo unaosema...
Wanabodi,
Wananchi hawashibi barabara, ndege, madaraja au hospitali. Wananchi wanahitaji chakula na pesa mwaka huu 2020. Hili chama changu cha CCM ndio tunapaswa kulihubiri kwenye kampeni...
Wanabodi, Cov-Idiots hawa ni watu wasiotaka kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizotolewa na serikali kuhusu kujikinga au kuchukua tahadhari kuhusu Virusi vya corona.
Taratibu zilizotolewa...
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia...
RC wa Mwanza jana katangaza kuwa kuanzia leo, mikusanyiko inayoruhusiwa jijini Mwanza ni ile inayouhusiana na ibada na misiba ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya korona.
Assume yupo sahihi kuwa...
Iko mbegu ya udikteta imeshapandwa. Mbegu hii imeota na kumea kisha imekita mizizi. Haitakuwa rahisi kuing'oa mbegu hii. Historia ya dunia inayoonesha kuwa udikteta hung'oka kwa gharama kubwa...
Anaongea Bishop Mpemba.
Kodi nyingi tunazo kusanya zinaishia kuwalipa mishahara first class citizen!
Wabunge 400, DC 120, RC 30+ , Wakurugenzi na MaDAC . Tunaitaji kuwa na watu wachache kwenye...
YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema:
Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya...
MIKATABA YA LUGHA ZA KIGENI KWA WANANCHI YAMKERA NAIBU WAZIRI
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amesikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa...
CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja...
Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa...
Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza:
basi mnakoipeleka hii nchi siko.
Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka...
Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango.
Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo...
Katika maisha yetu ya kila siku, binadamu tumekuwa tukipendelea zaidi vitu au mambo ambayo kwetu ni mazuri na yanayotupa sifa nzuri mbele ya wenzetu. Na mara nyingi inapotokea kila zuri...
Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Said Mtanda Julai 19.2021 amezitaka mamlaka za usafirishaji kuzuia magari kuondoka stendi ikiwa abiria wake hawaja vaa barakoa kujikinga na virusi vya...
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema...
Nimesikia Mwanza viongozi wa chadema wakiongozwa na freeman Mbowe wamekamatwa saa nane za usiku na jeshi la police,
Ukweli ni kwamba jeshi la police na serikali wanashindwa kujua kwa kufanya vile...
Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.