Yani huyu waziri bwana, sijui huwa anafanya maigizo ili kumfanya nani mjinga!
Alipokuwa waziri wa kilimo alikutana na watu waliozuia msafara wake huko Iringa wakimsifu. Ila kwa kuwa Magufuli...
Godbless Lema. Ambaye kimsingi ameonyesha uoga na kukimbia nchi yake kuogopa makabiriano ya kisiasa ameibuka na kuwananga watu walionunua IST na VITZ huku wamenyamaza na wameshindwa KUANDAMANA...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho...
JF kuna brains kweli kweli, au nasema uongo ndugu zangu? Hebu kwa akili zetu tujaribu kwa utulivu kujadili hii Kauli ya huyu jamaa inayosema "There's nothing more dangerous than a resourceful...
Naweza sema hakuna chama chenye misingi imara nchi Tanzania kama Chama Cha Mapinduzi.
Japo vyama vingine vina watu wenye weledi na maarifa zaidi ya viongozi waliopo CCM.
Tukumbuke kwamba...
Tanzania ni nchi ambayo ilipofikia kwa sasa ipo njia panda.
Macho ya maadui bado yameelekezwa kwetu kuona tunakwenda vipi baada ya kuondokewa na hayati Magufuli na viongozi wengine waandamizi...
Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.
CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote...
Habari wadau,
Nimekaa nikatafakari income gap ya wabunge na sisi makanjanja. Naomba kujua mbunge anakatwa kodi kwenye mshahara wake m 12 kwa mwezi? Kama hakatwi why? mfanyakazi wa mshahara wa...
Hebu tuambizane ukweli, kudai katiba mpya kuna dhambi gani katika taifa hili mpaka kufikia hatua ya kufungulia na kesi za ugaidi? Kwani mjadala tu wa kuidai katiba mpya una tatizo gani hadi...
Huyu mwamba kama mwenye kiti wa kidumu wa vyama ajitokeze hadharani atoe tamko kuhusu mwanachama wake kushikiiriwa na PT
Katiba yake inasema je kuhusu ili
Kwa namna Mambo yanavyoenda, viongozi wa CHADEMA wanazidi kukosa njia sahihi za kushughulika na maswala badala yake wanaendelea kuzidisha uanaharakati hata pale harakati zisipohitajika
Kwa watu...
Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD) Ameandika
KABLA YA KATIBA MPYA...
1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi.
2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa...
Mkoloni tulie nae ni wandani, ni sawa na kusema vita vyawenuewe kea wenyewe no no vita mbaya kabisa kwakuwa adui huwezi mjua anatokea wapi na ni yupi.
Kwa bahati nzuri tunawafahamu maadui zetu...
Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla.
Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba...
Polisi Tanzania, nadhani kwa sasa ndio Taasisi inayotia aibu zaidi duniani, Walimkamata Mbowe na wenzake kwa kuandaa kongamano la Katiba mpya, mitaa yote ya Mwanza walimwagwa polisi na hotel...
Hili jambo bado linatifakarisha sana kulingana na rekodi za watu au mtu atakaye taka kupata ukweli wa haki kuhusu hatima ya nchi yake!
Sina mengi ya kueongea najua mifano hipo mingi tu, tumeona...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe...
Rais Samia yupo madarakani sasa kwa miezi minne.
Katika muda wake huo madarakani, amekutana na makundi kadhaa sasa: vijana, wazee, maaskofu, akina mama, nk.
Sina hakika kama keshakutana na...
Waswahili husema, Kumsukuma mlevi ni kumuongezea mwendo.
Sijapendezwa na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni na baadhi ya tuliowapa dhamana ya kutulinda na kutuongoza. Hakika, sijapata mantiki ya...
Habarini Wanabodi!
Kulingana na hali halisi inayoendelea nchini;
1) CCM hawako tayari katika suala la Katiba mpya, badala yake wako tayarI kufunga, kubambikia kesi na kunyanyasa Vyama vingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.