Kwanini ukigusia suala la undani wa nchi hutoboi?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Hili jambo bado linatifakarisha sana kulingana na rekodi za watu au mtu atakaye taka kupata ukweli wa haki kuhusu hatima ya nchi yake!

Sina mengi ya kueongea najua mifano hipo mingi tu, tumeona Uamusho, Azory Gwanda, Tundu Lissu na wengine ila kwa Mbowe ni mfano tosha!

Siku njema
 
Hata kama ni wewe kwako nyumbani uone mtu anafuata fuata familia yako na wewe unmshajua nia yake na fursa ya kumwangamiza unayo utaacha tuu mpaka aje kukutoboa na kidole jichoni?
 
ili jambo bado linatifakarisha sana kulingana na rekodi za watu au mtu atakaye taka kupata ukweli wa haki kuhusu hatima ya nchi yake!

Sina mengi ya kueongea najua mifano hipo mingi tu, tumeona Uamusho, Azory Gwanda, Tundu Lissu na wengine ila kwa Mbowe ni mfano tosha!

Siku njema

Kuwaza hayo ni dalili ya ugaidi.

Hili jambo bado linatifakarisha sana kulingana na rekodi za watu au mtu atakaye taka kupata ukweli wa haki kuhusu hatima ya nchi yake!

Sina mengi ya kueongea najua mifano hipo mingi tu, tumeona Uamusho, Azory Gwanda, Tundu Lissu na wengine ila kwa Mbowe ni mfano tosha!

Siku njema
Ukweli upi?!!

Haki ipi ?!!

Undani upi ?!!

Lipa Kodi ,ujengewe shule barabara maji,ulindiwe UTULIVU wako,usubiri kufa...

#KaziIendelee
 
Hili jambo bado linatifakarisha sana kulingana na rekodi za watu au mtu atakaye taka kupata ukweli wa haki kuhusu hatima ya nchi yake!

Sina mengi ya kueongea najua mifano hipo mingi tu, tumeona Uamusho, Azory Gwanda, Tundu Lissu na wengine ila kwa Mbowe ni mfano tosha!

Siku njema
Yule bibi na wenzake watashindwa vibaya ni suala la muda tuu.
 
Back
Top Bottom