CCM ni ileile

CCM ni ileile

Amalrik TZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
341
Reaction score
303
Naweza sema hakuna chama chenye misingi imara nchi Tanzania kama Chama Cha Mapinduzi.
Japo vyama vingine vina watu wenye weledi na maarifa zaidi ya viongozi waliopo CCM.

Tukumbuke kwamba wanachama wa CCM ni walewale na wanaongoza bado ni wale wale hata baada ya hayati JPM kuondoka bado sina matumaini makubwa na wale waliopo.

Wiki hii chama kitapata mwenyekiti mpya lakini je unadhani anaweza kwenda kinyume na miiko na misingi ya chama chake.?

Jibu hapo ni hapana kwangu mimi hivyo basi yatupasa sote kusimama kutetea mambo ya msingi ya nchi yetu na kuacha kushabikia mambo ambayo yanapita.
 
CCM ndio sababu ya umaskini wetu lakini angalau sasa chama kimetoka mfukoni mwa yule aliyekwenda zake nafikiri wapenda haki na demokrasia wanafurahia hilo.
 
Tofauti ya Mwendazake na Samia ni uthubutu!! Mwendazake aliweza kuthubutu kuwathibiti mafisadi ndani ya ccm ambao walikuwa wanatumia chama kujineemesha; napia hakuruhusu wale walioamini kuwa " ccm ina wenyewe" kuiyumbisha Serikali!!! Je uliwahi kumsikia Kikwete akiwika enzi ya Magufuli kama anavyoanza kuwika sasa? Hao ndio wanaojiaminisha kuwa "ccm" ni mali yao!!!
Tumpe muda Samia kama ataweza kuwakunja mabawa hawa wazee wanaojinadi kuwa wao ndio wamemfikisha hapo!!
 
Sijakuelewa unaposema CCM ni ileile mwenzetu ulitaka CCM iwe CUF au CHADEMA?
Watu wanaimani na Samia, kwamba sasa Tanzania imepata mtu sahihii kabisa na wanategemea mambo mapya na mabadiliko makubwa, wanajisahaulisha kwamba alikuwa VP kwa miaka 5 nyuma ndani ya CCM.
 
Tofauti ya Mwendazake na Samia ni uthubutu!! Mwendazake aliweza kuthubutu kuwathibiti mafisadi ndani ya ccm ambao walikuwa wanatumia chama kujineemesha; napia hakuruhusu wale walioamini kuwa " ccm ina wenyewe" kuiyumbisha Serikali!!! Je uliwahi kumsikia Kikwete akiwika enzi ya Magufuli kama anavyoanza kuwika sasa? Hao ndio wanaojiaminisha kuwa "ccm" ni mali yao!!!
Tumpe muda Samia kama ataweza kuwakunja mabawa hawa wazee wanaojinadi kuwa wao ndio wamemfikisha hapo!!
Hao mafisadi wako gereza gani?..
 
Kwa maana pingapinga kila jambo ziendelee na wapinzani walioonyesha kumuunga mkono mama waache maramoja?
 
Waliounga juhudi sijui nini hatma yao.
Wamepewa na uwaziri wengine kama Mtatiro na Mollel 🤷🤷 naona kama CCM imezoea kusubiri vijana walelewe upinzani halafu wao wawarubuni kwa vipande kadhaa vya fedha.

Tamaa inawamaliza vijana wengi maana wakiwa upinzani unawaona wapo vizuri kwa kutetea nchi yao Ila wakishaingia kuunga juhudi ujue ni matakataka matupu.

CCM inaharibu sana hii nchi.
 
inahribu vp nchi sasa? yaani hio tayar ndo inaonyesha kwann kuna wapinzani, inamaana kwenye hela wao hawagomi, yaani kwa kifupi inaonyesha hakuna upinzani wao wana agenda zao na agenda zishajulikana kwamba ukiwahonga basi hamna cha upinzani wala chama cha upinzani, na hii nkiunganisha na lowasa kwenye upinzani ndo inagongelea msumari kwamba nyie ni wapenda pesa tu hamna nia njema yoyote na siasa
 
On the other side of the coin toss it means CCM imejaa watu wa hovyo watupu. Haina uwezo wa kukuza vijana mpaka inaamua kutumia udhaifu wa wapinzani kutokuwa na uwezo wa kiuchumi kuwalipa vizuri vijana wao so wanaamua kuwarubuni.

Ni chama cha warubuni, wanaotaka madaraka ili wakwapue mali za taifa hili kwa bahati mbaya wanapata vijana ambao wanashindwa kuvumilia hali mbaya ambayo wapinzani wamewekewa kifedha.

Wapinzani wanabanwa hata kupokea michango kutoka source za friends wa vyama vyao ingali CCM inajichotea mahela tu serikalini kama alivyotamka Bashiru akijitamba kuhusu kubaki madarakani.

So CCM ni tatizo kubwa sana.
 
Chupa mpya mvinyo uleule , chama cha maibilisi hakina jipya zaidi kufanya ufisadi , wizi na kuwafukalisha watanzania , hiki chama ni mkosi , balaa kwa nchi na watanzania .
 
Asprin babe tuwahi Dodoma

1619728384408.png
 
On the other side of the coin toss it means CCM imejaa watu wa hovyo watupu. Haina uwezo wa kukuza vijana mpaka inaamua kutumia udhaifu wa wapinzani kutokuwa na uwezo wa kiuchumi kuwalipa vizuri vijana wao so wanaamua kuwarubuni.

Ni chama cha warubuni, wanaotaka madaraka ili wakwapue mali za taifa hili kwa bahati mbaya wanapata vijana ambao wanashindwa kuvumilia hali mbaya ambayo wapinzani wamewekewa kifedha.

Wapinzani wanabanwa hata kupokea michango kutoka source za friends wa vyama vyao ingali CCM inajichotea mahela tu serikalini kama alivyotamka Bashiru akijitamba kuhusu kubaki madarakani.

So CCM ni tatizo kubwa sana.

Siasa ni biashara mdogo wangu, siasa ni zaidi ya unavofikiria, ukiwa mwanasiasa hautakiwi kua straighforward kwa sababu japokua tunakua na mategemeo kwa mwanasiasa kutatua matatizo yote hayo yote sio bure, the reason nmekwambia hakuna upinzani ni kwasababu all you know ni ccm na siasa zake, ukiachana na ccm kuchukua wapinzani inaonyesha kwamba hampo imara na mazingira yanaweza kuwabailisha mawazo au hata imani zenu

- Mwaka 2015 kipindi ambacho ccm ilikua inaonekana inaenda kufa, chadema ilishindwa kuchukua mtu kwenye chama chake ikaenda kuchukua mtu ambae walikua wanampinga miaka yote 20, hii ndo siasa mdogo wangu! kama unakaa unasubiria sku moja kukutana na mwanasiasa ambae ni straighforward endelea kusubiri tu
 
Wengi wetu tulishaona mbali na tayari washa thibitisha maono yetu. Swali ni Je, wananchi walio wengi wapo tayari kusimamia kidete na kudai haki zao za msingi au ni mpka kila mmoja wetu akiitwa gaidi?
 
Back
Top Bottom