Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni jambo la kheri kuwa sera rasmi kuhusiana na Covid-19 hatimaye imebadilika uelekeo kwa nyuzi 180. Kwamba kama uelekeo ulikuwa mashariki, tumegeuka nyuma kuelekea magharibi. Mwanga mpya wa...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukisikiliza na kuiona Habari ya wizi wa mafuta baada ya flow meter ulioibuliwa na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni akishirikiana na kamati yake ya ulinzi na usalama unapata picha wa husika walifanya...
27 Reactions
103 Replies
13K Views
John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Makada na viongozi was ccm wanaendelea kufanya mikusanyiko bila kuchukua tahadhari, week hii tumeshuhudia UVCCM wakifanya mkutano Dodoma, Katambi akifanya mikusanyiko Kahama, Mwigulu akijifanya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tulitarajia mh. Waziri Mkuu alishapokea Mrejesho wa hii tume! Hadi muda huu hatuna taarifa yeyote tuelewe nini? Hii tume ilikuwa funika kombe mwana haramu.... kama.ile ya benki kuu?? Kweli hii...
0 Reactions
4 Replies
835 Views
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi...
23 Reactions
124 Replies
6K Views
Yaani CHADEMA hawana mbunge hata mmoja lakini Samia na magenge yake wanaogopa chadema kama vile kinalingana wabunge na ccm. Yaani mnadhani Chadema ni Mbowe? Yaani mpaka Leo bado hamjui Chadema...
19 Reactions
35 Replies
3K Views
Moshi. Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amelionya Jeshi la Polisi kwa tabia za baadhi ya askari wake kubambika watu kesi, huku pia akitaka mafunzo ya awali ya askari yaongezwe kutoka...
4 Reactions
55 Replies
48K Views
Tangu yalipoanza matukio ya ovyo likiwemo la kumbambikizia tuhuma za ugaidi Freeman Mbowe, kumekuwa na maneno mengi dhidi ya Rais Samia: Wapo wanaosema kuwa japo huyu Mama alitaka kujionesha ni...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Mbunge wa viti maalumu aliyegawa barakoa zilizoisha muda wake alishindwa vipi kuzifuatilia na kuzihakiki barakoa alizozigawa kama zina uhai wa kutumiwa mpaka kuzigawa kwa watu na hali zimeisha...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Mbowe gaidi Masheikh wa uamsho magaidi Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi Maalim seif gaidi Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi? Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia kama walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Hii nchi ina vituko sana aisee! Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka. Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda? Na...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano. Na ukasema diplomasia inaanzia...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Polisi wanasema wamekamilisha uchunguzi,Ila wakimfikisha mahakamani sijui kama kesi itaanza au uchunguzi utaendelea. Kwa vile tuhuma zile ni nzito na viongozi wetu wametujengea flyover,ni bora...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Historia ya Tanzania itabadilika tutakapo pata katiba mpya.Katiba mpya lazima ipatikane iwe jua iwe mvua.Mbowe na watu wengine wataandikwa na kusomwa ktk Shule na vyuo mbali mbali hapa nchini kama...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Baada ya kutokea kifo cha Hayati Magufuli, kumekuwa na mitizamo tofauti tofauti juu ya uongozi wake. Upande mmoja ukisema Magufuli alikuwa anaongoza nchi vizuri sana wengine wakisema aliongoza...
27 Reactions
135 Replies
9K Views
Wataalamu wanasema ukichukuwa idadi ya wanachama wenye usajili ukazidisha mara mbili ndiyo nguvu ya wafuasi wao. Tujue kuna watoto ambao ni wapambe wa wanachama walezi wao kwenye mahesabu haya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom