Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya...
8 Reactions
67 Replies
7K Views
Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge alisema maelekezo ya Wizara ya Afya ni ya kusimamiwa kwa kuchukua tahadhari kwanza katika sehemu zote za huduma kwa kuhakikisha kuna maji tiririka, vitakasa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100 Naona Mzee wa Kuhamia Burundi...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
PICHA: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100% Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naliona anguko kubwa la utawala huu. Wamejitenganisha na uzalendo wa Rais Magufuli aliokuwa nao kwa nchi wameanza kuchezea nchi. Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na ukorofi wa kutopenda...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na nani anampelekea chakula? Kwa...
12 Reactions
54 Replies
5K Views
Wasalaamu wana JF Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum. Kitendo cha Chandema kupata wahamaji...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176. Idadi hiyo inafikisha Tanzania...
6 Reactions
85 Replies
9K Views
Huu hapa ndio ujumbe wenyewe
7 Reactions
23 Replies
2K Views
NINA HOJA 1. Mbowe hatofia mahabusu, ni tuhuma ambazo mpaka zithibitishwe si leo. Hapa tunahamishwa agenda 2. Katiba Mpya ni jambo la muda tu halikwepeki. CCM itaweka kwenye ilani ya 2025. Hapa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wa Tanzania kuanzia Bungeni wamekuwa wakipitisha sheria mbalimbali za kuipatia serikali mapato kupitia kodi. Lakini viongozi mbalimbali wao hawalipi kodi kupitia mishahara yao na posho...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
MKUU WA MAJESHI WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- PRETORIA Leo Jumamosi tarehe 29 Mei, 2021. Mkuu wa Majeshi wa Jamhuri...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri. Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium...
15 Reactions
43 Replies
4K Views
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake. Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Tuna chini ya siku 150 kuelekea uchaguzi mkuu. Huu utakuwa uchaguzi mkuu tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote zilizopita Hakuna amsha amsha hakuna shamra shamra Hakuna kimbiza kimbiza...
18 Reactions
57 Replies
6K Views
Nchi za kiafrika zinatakiwa kutafuta njia nyingine ya kisiasa. Demokrasia ya nchi za magharibi haifanyi kazi Africa nzima. Ni vurugu tupu. Africa inahitaji viongozi bora, kama Kagame ama Hayati...
1 Reactions
0 Replies
741 Views
Back
Top Bottom