Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAKAMU WA RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MKURUGENZI NANYUMBU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Julai 24, 2021 amefanya ziara ya kustukiza katika...
6 Reactions
80 Replies
10K Views
Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum ya Mkoa husika.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Matumizi ya Barakoa kwa wananchi wote kwenye sehemu zenye mikusanyiko (Mass Masking) ni hatua muhimu ya kukata mnyororo wa maambukizi katika jamii. Aidha, matokeo ni makubwa sana pale ambapo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Vituo vya Polisi vitatakiwa kufanya yafuatayo: - 1) Kuweka maeneo ya kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni 2) Watumishi na watu wote wanaoingia katika vituo vya polisi wavae barakoa muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii tv imerudi kwenye mstari aisee Nimeona kipindi cha medani za siasa mtangazaji kamkaba mbatia kwa maswali magumu hadi anashindwa kujibu Huyu mtangazaji kongole kwake
1 Reactions
11 Replies
2K Views
SOCIAL DISTANCING Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha...
11 Reactions
61 Replies
6K Views
Nimewaza mengi. Nikagundua kwamba kudai katiba mpya italeta hofu ya kupokwa madaraka miongoni mwa viongozi walioko madarakani , hofu hupelekea presha (hypertension) na visukari (diabetes) kupanda...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Hon. Samia Suluhu Hassan, President of United Republic of Tanzania who continues to prove the world that Women a strong Army. Tanzania continues to benefit for her leadership.
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo. Badala ya kusaidiwa unga wa yanga tupewe mafunzo ya kilimo bora na teknolojia mpya ya maswala ya...
1 Reactions
9 Replies
916 Views
Mtanzania yuleyule anayeandika kwenye barua, kwenye mtandao wa kijamii au anayezungumza kutoa pole na kuomba dua anaposikia msiba ndiye huyohuyo anayekuona upo kwenye hatari ya kifo asiseme kitu...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkitaka serikali yetu ipate mapato kama mnavyotaka badala ya kuleta kodi za kuumiza watanzania fanyeni yafuatayo 1. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa kwa wafanya biashara, Bandarini, Kwenye...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu Hakika maisha kutesa kwa wazamu wazee wetu walimaliza misemo yote! Hii inchi ina raia wepesi sana wa kusahau mambo ndani ya muda mfupi, juzi tu hapa alikamatwa aliyekuwa DC wa Hai...
15 Reactions
17 Replies
1K Views
Salamu wakuu Awali ya yote mimi ni mwanachama hai wa Chama cha Mapinduzi na ni diwani wa kata fulani na kiongozi wa chama Huwa najiulza haya maswali lakini sjawahi kupata majibu 1. Hili suala...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
MODS WAMENIBADILISHIA KICHWA CHA MADA KWA KULAZIMISHA I am no genius. I reckon my intelligence is way below average. But one thing that I’m proud of, that I possess in abundance, is common...
55 Reactions
182 Replies
12K Views
Wanabodi, Uzalendo ni kutokubali na kutonyamaza kimya wakati rais wako anaposemwa vibaya kwa hoja za uongo na media za nchi nyingine, bali ni kwa media zetu kujitokeza, kuukanusha uongo kwa...
21 Reactions
294 Replies
32K Views
Wanabodi, Kitendo aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini, Michael Retzer cha kupitia mtandao wa Wikileaks, kumtuhumu Rais wetu, Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa amehongwa pair 5 za Suti za Savile Row...
7 Reactions
193 Replies
23K Views
Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari...
33 Reactions
158 Replies
12K Views
Mama yetu wa Taifa, mpendwa wetu nani kama Mama? Umeanza vzr sana ktk siku zako 100 kwa kusimamia Haki, Sheria, Amani, Upendo na Mshikamano. Katika siku 100 tumehuhudia kesi za kubambikiwa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam,jana ilimfutia kesi ya makosa ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na Ludovick...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Back
Top Bottom