Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi ni kweli sababu ya Bunge lako kuongeza tozo kwenye miamala ya simu ni kumalizia upatikaji wa barabara, maji, madawati, madarasa, na zahanati katika kila kijiji...
Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu.
Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili...
Unapokabiliwa na ugonjwa Kama covid 19 unawafanya wananchi wako wengi kutumia muda wao kwenye mambo yafuatayo;
1. Kuhudumia wagonjwa, Kuchukua taadhari za afya ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa...
Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu.
Mbaya zaidi anadai eti...
ANNA MGHWIRA, SIASA SAFI, MAMA MWEMA ANAYEISHI.
Ukiachana na Televisions kadhaa ambazo nilizowahi kufanya nazo kazi, mitandao ya kijamii imenisaidia kwa asiliamia zaidi ya 90 kunikutanisha na...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan na mwenyekiti wa chama hicho kwa kuagiza kuangalia tozo za miamala ya simu kwani "amedhihirisha hekima...
Naikumbuka mahakama ya wakala wa shetani Pontio Pilato. Ni kwenye mahakama hii ndiko Yesu Kristo, Mungu katika umbile la mwanadamu alipelekwa kwa mashtaka ya kubambikiziwa na Wayahudi.
Mashtaka...
Kuna watu wengi mtandaoni hasa Wakristo na kutoka chama cha CHADEMA hupendelea sana kunukuu maandiko ya kidini kwa maana ya Biblia katika kuwasilisha hoja na hisia zao kuhusu matukio mbalimbali...
Subira yavuta heri. Geduld bringt Rosen. Wanasema wenye Lugha Yao.
Mke Wangu na wanangu wao wanajua zaidi. Kwangu la msingi pumzi.
Kwanza nina declare interest Kwa Nchi yangu nilipozaliwa hata...
Salaam!
HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia...
Kama kichwa cha bandiko hili kinavyojieleza kwamba.
"Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani".
Ndugu zangu,
Naomba nianze kwa...
Kumekuwa na tabia kwa wananchi kusema katika mihimili ya serikali, kuna muhimili mmoja huwa unaingilia mamlaka za mihimili nyingine. Mihimili inayotambulika hadi sasa ni Serikali Kuu(Executive)...
Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku?
Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki.
Barikiwa...
Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe)
Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa...
Mwanzoni mwa karne ya kwanza huko uyahudi alitokea kijana mdogo aliyejitokeza kupinga na kukosoa baadhi ya taratibu dini ya kiyahudi. Kutokana na umahiri wake katika kuhubiri alifanikiwa kupata...
Habari za asubuhi Wakuu.
Mimi nina maswali mengi yasiyo na majibu kuhusu vita inayoendelea ya Katiba Mpya.
Nimeshangaa sana kuona Zitto na Lipumba wamejitenga kabisa na hii Movement as if wao...
Ninaandika haya nikiwa binafsi naugulia moyoni kutokana na tukio lisilo la kiungwana la vyombo vya serikali Mwanza na yatokanayo.
Kutokana na hilo hapo juu inamfanya mtu awaye yote kughairi mambo...
Wadau Habari!!
Leo tulikuwa na kikao cha Maafisa Elimu Kata na Walimu wakuu kujadili Mambo mbalimbali ya kuboresha taaluma wilayani kwetu
Mwenyekiti wa CWT wilaya alipopewa nafasi ya kuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.