Chonde Mama Usiwavumilie wanaowaongezea mwendo walevi

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
300
500
Waswahili husema, Kumsukuma mlevi ni kumuongezea mwendo.
Sijapendezwa na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni na baadhi ya tuliowapa dhamana ya kutulinda na kutuongoza. Hakika, sijapata mantiki ya kwanini yatokee.

Tulianza vizuri, watu tunaimani na wewe, umetupa faraja, umetuelezea safari yako,, iweje watu wanaotaka kujionesha wanaweza wakuvuruge. Hapana mama, usiwafumbie macho. Nchi ilitulia na watu wanafuraha saana, wasikualibie Hawa wenye kujikweza na kulinda maslahi zao.

Mbaya zaidi, wanaotekeleza haya yanayoendelea wamekosa uweledi wa kuyashughulikia. Mwenyezimungu amemlaani mnafiki, na siku zote mnafiki ujifichuliwa mwenyewe. Ona taarifa zao kwa umma! Vitimbwi tupu.

Kuongea, kucheka, kulia, ndio pekee dawa ya hasira na Sonoma. Tuwaache waongee wapone yaliyo moyoni mwao mama.

Shituka mama, busara na hekima zizingatiwe katika kuwapata viongozi watakaokuwakilisha.
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,905
2,000

Yule gaidi mbowe naye vipi?

USSR
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
19,378
2,000
Nadhani hao wanayoyafanya yote hayo wamepata go ahead kutoka kwake. Maana yake tayari ameshadhihirisha kuwa yeye na mwendakuzimu ndio wale wale.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
12,426
2,000
Ccm ni ile ile! Hakuna cha mama wala nani!! Wote lao ni moja tu! Maslahi ya chama kwanza, yale ya Taifa huwekwa mwishoni kabisa.
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,490
2,000
Tena mbowe anyongwe tu
JamiiForums-1797793390.jpg
 
GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,441
2,000
Waswahili husema, Kumsukuma mlevi ni kumuongezea mwendo.
Sijapendezwa na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni na baadhi ya tuliowapa dhamana ya kutulinda na kutuongoza. Hakika, sijapata mantiki ya kwanini yatokee.

Tulianza vizuri, watu tunaimani na wewe, umetupa faraja, umetuelezea safari yako,, iweje watu wanaotaka kujionesha wanaweza wakuvuruge. Hapana mama, usiwafumbie macho. Nchi ilitulia na watu wanafuraha saana, wasikualibie Hawa wenye kujikweza na kulinda maslahi zao.

Mbaya zaidi, wanaotekeleza haya yanayoendelea wamekosa uweledi wa kuyashughulikia. Mwenyezimungu amemlaani mnafiki, na siku zote mnafiki ujifichuliwa mwenyewe. Ona taarifa zao kwa umma! Vitimbwi tupu.

Kuongea, kucheka, kulia, ndio pekee dawa ya hasira na Sonoma. Tuwaache waongee wapone yaliyo moyoni mwao mama.

Shituka mama, busara na hekima zizingatiwe katika kuwapata viongozi watakaokuwakilisha.
Ukiachana na content ya mada yako ila umetudanganya hakuna msemo wa kiswahili unaosema kumsukuma mlevi ni kumuongezea mwendo mkuu

Umechanganya madesa. Kama kumsukuma mlevi~kitu chepesi/rahisi kufanya kwakua mlevi kumsukuma anaanguka

Kumpiga teke chura ndo ina uhusiano na kuongeza mwendo

Ni mimi mzee Kifimbo Cheza toka Ikwiriri😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom