Bunge litunge sheria ya aina ya misaada ya kiteknolojia

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo.
Badala ya kusaidiwa unga wa yanga tupewe mafunzo ya kilimo bora na teknolojia mpya ya maswala ya kilimo.
Badala ya kuletewa ARVs tuletewe teknolojia ya kutengeneza dawa
Badala ya kusaidiwa chanjo tuletewe teknolojia na mafunzo ya kuandaa chanjo.

Kwangu mimi msaada wa dharura ni wa kujenga kiwanda cha chanjo na sio kugeuzwa soko la chanjo na dawa.

Huu ndio msaada endelevu nitakaouthamini.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Yaani sijawahi kuona mwana CCM Ana akili, wakiwapa elimu ya kuwa kama wao, nani atakuwa mhanga wa mipango yao na manunuzi wa bidhaa zao hatarishi?
 
Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo.
Badala ya kusaidiwa unga wa yanga tupewe mafunzo ya kilimo bora na teknolojia mpya ya maswala ya kilimo.
Badala ya kuletewa ARVs tuletewe teknolojia ya kutengeneza dawa
Badala ya kusaidiwa chanjo tuletewe teknolojia na mafunzo ya kuandaa chanjo.

Kwangu mimi msaada wa dharura ni wa kujenga kiwanda cha chanjo na sio kugeuzwa soko la chanjo na dawa.

Huu ndio msaada endelevu nitakaouthamini.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nani sasa atusaidie?
Mabeberu ambao mwenzakee alisema sisi ndio tutawapa msaada?
 
Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo.
Badala ya kusaidiwa unga wa yanga tupewe mafunzo ya kilimo bora na teknolojia mpya ya maswala ya kilimo.
Badala ya kuletewa ARVs tuletewe teknolojia ya kutengeneza dawa
Badala ya kusaidiwa chanjo tuletewe teknolojia na mafunzo ya kuandaa chanjo.

Kwangu mimi msaada wa dharura ni wa kujenga kiwanda cha chanjo na sio kugeuzwa soko la chanjo na dawa.

Huu ndio msaada endelevu nitakaouthamini.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Lipi hilo?
 
Back
Top Bottom