Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,696
- 119,329
Wanabodi,
Uzalendo ni kutokubali na kutonyamaza kimya wakati rais wako anaposemwa vibaya kwa hoja za uongo na media za nchi nyingine, bali ni kwa media zetu kujitokeza, kuukanusha uongo kwa kuusema ukweli na ikibidi serikali yetu sio tuu ikanushe bali pia ihitaji kuombwa radhi!. Hata Kikwete aliposingiziwa kuhongwa suti nilitoa hoja hii na ikulu iliingilia kati. Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi!
Pamoja na matatizo yote na mapungufu yote ya rais wetu Magufuli, kwa sababu na yeye ni binadamu na sio malaika, Watanzania wote wazalendo wa kweli wa nchi yetu, tusikubali rais wetu kudhalilishwa kwa kusemwa vibaya, na kusingiziwa uongo na media za nje bila ya media za ndani kukanusha na kumtetea, au kuunyamazia udhalilishaji kama huu ni sawa na kushangilia rais wetu kudhalilishwa.
Hoja hii ni kufuatia makala hii
SABC News - Tanzania’s Magufuli descends from darling to despot:Sunday 9 April 2017
Kulikopelekea kuibuka kwa mjadala huu SABC NEWS: Magufuli kutoka rais apendwae mpaka kuwa dikteta!
Any bad publicity kumhusu rais wetu ni bad publicity kuhusu nchi yetu, natoa wito kwa wazalendo wote kutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kutokubali au kushabikia bad publicity kuhusu nchi yetu. Think of multiplier effects za bad publicity!. Its not good kwa investment climate, tunapoelekea kwenye Tanzania ya viwanda, its not good for tourism yetu. It's not good for Tanzania in general kwenye international arena, not good at all.
Hivyo natoa wito maalum kwa Waziri wa Habari, Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu au Idara ya Habari Maelezo kuukanusha uongo huu unaoenezwa kumhusu rais wetu, kwa sababu uongo ukisemwa sana na kuachwa bila kukanushwa mwishowe sio utaonekana kama ni ukweli, bali utageuka ukweli.
Jumatatu Njema.
Paskali.
Rejea Kuhusu Udikiteta Tanzania
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Udikiteta ni Dhana Tuu or ni Real?. "Lets Call A Spade A Spade!"Dikiteta ni Mtu Mwenye Tabia Hizi!".
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!
Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka Ukweli!. Dawa ya Uongo ni Ukweli.
Gwiji wa Sheria na Katiba, Prof. Issa Shivji, Agoma Kuzungumzia Dhana ya Udikiteta/Uvunjifu Katiba!
UDIKTETA: Hongera Sana TWAWEZA, TZ hakuna Udikteta! Ila, ukiwauliza wajinga, unategemea nini?
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Wote Katili Duniani!
Tension between Tanzania's 'bulldozer' president and opposition

Wito.Factual Errors za makala hii ni hizi zifuatazo
1. Kumuita rais Magufuli ni Despot Leader ni haki?.
2. Wamesema nick name ya rais Magufuli ni "The Bulldozer", hivi ni kweli hilo nick name ya rais wetu? .
3. Para ya pili wamesema Magufuli ametumia usafiri wa baiskeli kwenda Ikulu, hii ni kweli au tukio hili lilinipita? .
4. Para ya 4 wamemuita Magufuli ni dikteta!. Japo ni kweli sisi JF tunamuita rais Magufuli ni dikteta lakini jee ni kweli rais wetu amefikia levels za kuitwa dikiteta na media za nje?. Hata Baba mwenye nyumba anaweza kulalamikiwa na mkewe kuhusu ulevi na watoto wakashuhudia, ila yanabaki kuwa ni mambo ya ndani, lakini majirani wanapojitokeza na kumyooshea vidole baba yako kwenye kadamnasi ya watu kuwa ni mlevi, huwezi kushangilia au kuunyamazia, lazima umtete!.
5. Wamesema ni Magufuli ndie aliyepiga marufuku matangazo ya moja kwa moja ya Bunge Live kwa sababu ya gharama. Jee ni kweli ni Magufuli na sababu ni gharama? .
6.Wamesema amepiga marufuku kabisa mikutano yote ya kisiasa hadi mwaka 2020!, jee hii ni kweli?. Japo ni kweli mwanzo alipiga marufuku mikutano yote, lakini baadae aliruhusu mikutano ya wabunge na madiwani majimboni mwao.
7. Wamesema Magufuli ameamrisha "cracking down on dissidents" ni dissidents gani hao walikuwa cracked down?.
8.Wamesema rais Magufuli ameamrisha "the arrest of a popular musician whose lyrics authorities said were too critical of Magufuli", ni kweli ni Magufuli aliyeamrisha Ney wa Mitego akamatwe au yeye ndie aliyeamuru aachiwe? .
9. Wameripoti kuwa Ney ameachiwa kwa masharti ya kuubadili huo wimbo kuupunguza makali,
Elibariki has been released on a warning but it emerged Magufuli had ordered the controversial song’s lyrics be watered down before it can be released commercially" jee hii ni kweli
10. Pia wamezungumzia kutimuliwa kazi kwa Nape Mnauye hapa ndio angalau wamesema kweli. Japo rais hapaswi kutoa sababu zozote za uteuzi au kutengua, kwenye suala la Nape rais Magufuli ameteua tuu Waziri mwingine bila kusema lolote kuhusu Nape hata kueleza kuwa ametenguliwa haikuelezwa. Kuna baadhi ya maamuzi rais lazima atoe sababu why, kama kwenye utumbuaji wengine anatoa sababu,wengine hatoi, hii ni double standards and it's not good at all!. Kama Tanzania tumeridhia Open Government Initiatives lazima tuwe open and transparent kwenye kila uamuzi unauhusu public, hivyo kwenye hili la Nape akiitwa dikiteta, hapa atakuwa ameonewa? .
11.Amem quote mtu anayeitwa Alexander Opicho, hili ni jina la Kikenya, jee unategemea objectivity kutoka kwa a Kenyan political analysts? . Kwa nini hakutumia ma analysts wetu tena wengine wako very objective kama Generali Ulimwengu? .
12.Opicho amesema
“Magufuli is only following the trend of other African leaders that usually entrench their tyranny by first frustrating the opposition, the media, the civil societies, and the rule of law.” Jee hii ni kweli? .
13. Wamesema tumefuta sheria yetu ya habari ya mwaka 1970, hii ni factual error, sheria yetu ya habari ni Newspaper Act ya 1976.
14. Wamem Quote mzungu fulani
“Today, Tanzania is witnessing an unprecedented interference by the executive in the media world,” said Cléa Kahn-Sriber, head of the Africa office of Reporters Without Borders. Jee hii ni kweli?.
15. Wamedai Passport za wakandarasi wote kutoka nje, zitashikiliwa hadi wamalize kazi ndipo warudishiwe! . Hii ni kweli?.