Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amepiga marufuku abiria wanaoingia ndani ya daladala na mabasi yaendayo mikoani kutoruhusiwa kuingia bila kuvaa barakoa ili kupunguza...
Au sisi wengine ni washamba jamani?
---
Rais wa USA, Joe Biden akichomwa chanjo
===
Wizara ya Afya watoa ufafanuzi kuhusu hoja hii, soma hapa chini:
-...
Kumekuwa na wimbi kubwa la vifo vya ugonjwa wa korona karibia kila kona ya taifa hili kama wimbi la tatu lilivyokuja kwa kasi kubwa lakini ukiangalia kwasasa maambukizi ya virusi vya korona...
Mungu alipo iumba dinia na kuwakabidhi Adam na Hawa Mali zote ktk dunia hii ili kuzitunza na kuzitawala.
Najambo kubwa zaidi aliwapa Uhuru wa kuchagua jema au baya.
Sasa kama Mungu muumbaji...
Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester".
Ninachompendea Mama, tofauti...
Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno.
Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu...
FORMER TANZANIAN INTELLIGENCE OFFICER: IN A FREE AND FAIR VOTE, THE OPPOSITION WINS
by Evarist Chahali
( ni article ya 2015 but worthy reading)
Jasusi, who is going to win the election?.” This...
"Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja...
Tangu ateuliwe Uwaziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Lameck Madelu Nchemba, amekuwa very humble. Amesha-adopt utaratibu na upole wa Mhe. Samia Suluhu Hassan. Juzi alionana na Ndugu yangu ndani ya viunga...
Hata angekuwa anagombea Yesu, Mtume Mohammed au Ibrahim, bado watu wangejitokeza kuwapinga kwa Hoja mbadala,
Hivi Leo hii sababu gani yaweza kumfanya mtanzania anayetaka uongozi apite bila...
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye...
Wafuasi wa Kibwetere wamegawanyika makundi mawili, wapo wanaotaka kujifanya wanathamini afya zao na kwamba Kibwetere ailiwapotosha au walijua kabisa kwamba Kibwetere anawapotosha lakini kwakuwa...
Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa...
Nchi zetu changa zinapelekeshwa kila siku na ubeberu. Ukiwepo mpango wowote wenye maslahi kiuchumi kwa umma ila unakinzana na maslahi ya ubeberu au vikaragosi vyao unakwama.
Ni vigumu mtu kuamini...
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka...
Mifumo ni watu. Taasisi ni watu. Na vyote hivyo ni kwa ajili ya watu.
Hakuna mfumo uliojiumba wenyewe tu na unaojiendesha wenyewe. Hakuna taasisi iliyojitengeneza yenyewe. Hakuna taasisi...
Habari za jioni wanaJF!
Mimi ni muumini wa kumsikiliza kiongozi katika mapambano yoyote.
Upo muda wa taharuki,kutoaminiana, kuchallange, kujadili na hatimaye kuchukua upande na uelekeo.
Mwaka...
Taarifa tulizozipata kutoka kwa Mdaku kutoka Ufipa ni kuwa shughuli zote za uratibu wa chama zimesimama kutokana na kesi inayo, kabili Mwenyekiti huyu wa maisha na mwenye hisia za umiliki wa chama...
Raisi Samia anafanya makosa ambayo Hayati Magufuli na wapambe wake walifanya. Magufuli alifanya vitu vingine ambavyo havikuwa na tija kwa taifa.
1. Kubishana na Lissu kuhusu yeye kupigwa risasi...
UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021
Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the...