mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Taarifa tulizozipata kutoka kwa Mdaku kutoka Ufipa ni kuwa shughuli zote za uratibu wa chama zimesimama kutokana na kesi inayo, kabili Mwenyekiti huyu wa maisha na mwenye hisia za umiliki wa chama kushitakiwa na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kesi na makosa ya ugaidi hapa nchini.
Kesi hiyo haina dhamana na mpaka sasa hakina mtu yeyote aliyeweza kuonananaye kuanzia wanasharia, familia na hata viongozi hivyo mambo yamesimama kidogo kwani yeye ndiyo kilakitu ndani ya chama.
Huyo mdaku ambae pia ni mbea aliye boboe ametonya kuwa pale ufipa watu wanakimbiana, na viongozi wengi wametereza kama kambare katika tope na hii inatokana na kuwa viongozi wengi wako kama raba stamp hivyo kama kiongozi leo akifanya maamuzi yoyote na ikitokea mwenyekiti katoka mahabusu na hakufuraishwa ni lazima mtu apotee.
Jamaa huku akisisitiza kuwa jina lake lisitajwe wala picha au sauti kisa tu na yeye anamaslai kule ndani ya Ufipa kwa sasa amesema ujenzi wa chama kiujumla umesimama si kurugugenzi za chama, katibu mkuu bara au visiwani au hazina au wahasibu, kwani kwa sasa hawawezi kuizinisha chochote bila kuwepo mwenyewe.
Mbeya huyo ameendelea kusema viongozi wanaume wengi wametereza kiaina na kuwaacha Bawaza ambao wote wameingia mkenge kwani taarifa tulizopata wote kwa sasa ni vipusa wanatafutwa mpaka mivunguni.
Jamaa hilo ambalo ni baba mzima lilipiga umbea huo bila hofu na kumalizia na kusema hari si nzuri hata katika ofisi za mikoani ambako viongozi wengi hawakai sasa ofisini kuhofia lolote na zaidi wakitumia simu kufanya kazi za ofisini.