Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa...
Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za...
Nchi ina ikulu mbili zilizo fullu kinguvu, Hii ni gharama sana kwa nchi ambayo matundu ya vyoo ni shida.
Kwa sasa mfano Serikali nzima iko Dar, lakini Dodoma pia wana Offisi kwa sasa ziko zenyewe...
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba...
Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu.
Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho.
Just imagine hawako bungeni lakini...
Amesikika mheshimiwa SSH jana akiongelea tozo za miamala na bei za mbolea. Akijinasibu kuwa huko ndiko kusikia kwa serikali yake sikivu.
Ikumbukwe kuwa za moto zaidi kwenye ajenda zimekuwa:
1...
Hebu angalia alichosema msomi huyu kuhusu Chanjo ya Corona katika Awamu ya Magufuli na Awamu ya SAMIA.
Herufi A wakati wa MAGUFULI
Herufi B wakati wa SAMIA
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu...
"Alexander Mnyeti alikuwa akijificha kwenye kichaka cha uzalendo wa mwendazake kutekeleza ufisadi wake ".
Humu ndani ya jamvi iliwahi kusemwa ya kwamba mheshimiwa Alexander Mnyeti mbunge wa...
Serkali inatakiwa kutambua kuwa watanzania wako tayari kuchamgia lakini tatizo ni viwango vya makato mfano:
Mtu akitoa 10,000 anatozwa makato ya serkali wastani wa shilingi 320 lakini serkali...
NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM.
NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM
"Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu."...
#SisiTanzania
#WeTanzania
28/Julai/2021.
UVIKO19 NA CHANJO ZAKE.
Habari yako mtanzania.
Unafahamu kuhusu UVIKO19 na chanjo zake?
UVIKO19 ni gonjwa lililoikumba Dunia nzima na kuiacha mdomo wazi...
Leo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara alikuwa kwenye kipindi cha 'Morning Trumpet' cha Azam TV na amegusia mambo mbalimbali ikiwemo hasara ATCL, ujenzi bandari ya Bagamoyo, ujenzi...
Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.
Huwezi kukana...
Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni.
Tunakuomba...
Kipindi cha awamu ya tano katika kipindi cha miaka mitano nilipata kipara au uharaza, baada ya uchaguz 2020,niliwaza mwili utaanza kupata mvi.Mabadiliko haya ya kimwili yalitokana na kufanya kazi...
Mama Samia Suluhu kuapishwa kesho saa nne asubuhi Ikulu Dar es Salaam kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tukio hilo linatarajiwa kuanza saa 4 Asubuhi - Ikulu, Dar es Salaam.
Hii ni...
Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam.
Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona!
Sasa nimewaza...
Nampendekeza kwenu Bi Dorothy
Itakuchukua muda mfupi sana baada ya kumtazama katika utekelezaji wa majukumu yake Bi. Dorothy kutambua kipawa alicho nacho cha uongozi, nimemsikiliza katika clip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.