Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
1 Reactions
1 Replies
955 Views
Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi Kwa mujibu wa taarifa za mtandaoni inakadiriwa kuwa watu zaidi ya bilioni 5 ulimwenguni wanatumia simu za mkononi katika shughuli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe. Yule mtu inaelekea amekuja...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia...
11 Reactions
80 Replies
7K Views
Kuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA. Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja. Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimetafakari sana kuwa ni nani zaidi kati ya CCM na Chadema katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi? Kwa mfano CCM walikuwa na msimamo kuhusu katiba mpya haki kuanzisha mchakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalaam aleykum! Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini. Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
"Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda...
24 Reactions
73 Replies
47K Views
Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kwa walichoma chanjo ya Corona wanachoma sindano mbili ndani ya wiki tatu (3) na baada ya hapo unapata cheti ambacho kinakuwa halali ndani ya miezi (6) kisha unatakiwa kuchanjwa tena...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Tangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya. Mwenyekiti wake...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais Samia alitangaza value retention fee kwa wanafaika Heslb inafutwa, tamko la Serikali kupitia Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia alitangaza inafuta vrf,inafuta makato ya waliochelewa kulipa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Samia amezungumza juu ya hatima ya Katiba. Rais akaomba apewe muda 'asimamishe nchi' kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala ya Katiba. Jibu la Rais Samia limewakera baadhi ya watu. Mijadala...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba...
19 Reactions
112 Replies
10K Views
Wanabodi, Kama kawaida, kila nikipata fursa ya kuandika, huwa naandika mfululizo wa makala hizi ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo miongoni mwa Watanzania, ambazo...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
7 Reactions
251 Replies
19K Views
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote. Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
Nmesoma hii habari kwa ufupi imeumiza sana, kwanini waalimu wahamishwe? Wamefanya kosa gani? Shule kutokuwa na choo ni jukumu la nani? Wewe waziri na watu wako wa chini kwanini msianze kuwajibika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Press Statement of the African Commission on Human and Peoples’ Rights on the deteriorating human rights situation in Tanzania The African Commission on Human and Peoples’ Rights (the...
3 Reactions
4 Replies
754 Views
Back
Top Bottom