Maisha yanakwenda kasi sana. Kutoka demokrasia ya kujadiliana na kupingana kwa hoja hadi risasi na kubambikiana kesi za kigaidi

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,303
12,962
Acha picha iongee
FB_IMG_16274530047636527.jpeg
 
Hawauwezi uwanja wa hoja ndio maana wanatumia nguvu kulazimisha mambo yao.
 
Yaani Osama Bin Laden na wenzake wanaalikwa eti Ikulu, ena na Rais wa Nchi wa wakati huo!! Hii Nchi ina maajabu sana.
 
Hamueleweki mnataka nini nyie watu.
Waliowakaribisha ikulu mliwaita dhaifu.
.Halafu sasahivi mnalazimisha kukaribishwa,na mnataka mumpangie mtubratiba ya kuwakaribisha.!
Shame on you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatakiwa tumuue huyu Mama wa kambo kama vile tulivyomuua yule baba wa kambo kutoka chato.

Haya sio maneno ya kuzungumza hata kwa masihara. Kumtakia binadamu mwenzako kifo sio kitu chema kabisa. Ukiulizwa ulimuuaje huyo ambae unasema ulimuua utasema nini? Kutofautiana ki msimamo ni sawa lakini huku mnakoenda siko.

Amandla...
 
Haya sio maneno ya kuzunguza hata kwa masihara. Kumtakia binadamu mwenzako kifo sio kitu chema kabisa. Ukiulizwa ulimuuaje huyo ambae unasema ulimuua utasema nini? Kutofautiana ki msimamo ni sawa lakini huku mnakoenda siko.

Amandla...

Kunilinganisha mimi na Rais fulani kwa kigezo kuwa ni binadamu mwenzangu siyo sahihi.Mimi siyo Rais.Rais ana uwezo wa kuathiri watu zaidi ya million hamsini wa nchi wakati mimi sina uwezo huo.Rais ana uwezo wa kushawishi itengenezwe sheria ambayo ina uwezo hata wa kuua watu wa nchi nzima lakini mimi sina uwezo huo.

Halafu Rais ambae ananyang'anya watu uhuru wao wa kidemokrasia kwa mabavu ambayo ni haki yao kikatiba kumuombea afe ni jambo la kheri sana kwa sababu akifa Taifa zima litapona.Unahitaji PhD kuyajua mambo madogo kabisa kama haya?!
7654311.jpg
 
Kunilinganisha mimi na Rais fulani kwa kigezo kuwa ni binadamu mwenzangu siyo sahihi.Mimi siyo Rais.Rais ana uwezo wa kuathiri watu zaidi ya million hamsini wa nchi wakati mimi sina uwezo huo.Rais ana uwezo wa kushawishi itengenezwe sheria ambayo ina uwezo hata wa kuua watu wa nchi nzima lakini mimi sina uwezo huo.

Halafu Rais ambae ananyang'anya watu uhuru wao wa kidemokrasia kwa mabavu ambayo ni haki yao kikatiba kumuombea afe ni jambo la kheri sana kwa sababu akifa Taifa zima litapona.Unahitaji PhD kuyajua mambo madogo kabisa kama haya?!View attachment 1871245
Hivi huyo Abubakar kawawekea nini hadi mnakuwa matahira hivi?
 
Mshana ulisema mama yupo vizuri anaupiga mwingi,VP sasa hv unamuonaje?
 
Kunilinganisha mimi na Rais fulani kwa kigezo kuwa ni binadamu mwenzangu siyo sahihi.Mimi siyo Rais.Rais ana uwezo wa kuathiri watu zaidi ya million hamsini wa nchi wakati mimi sina uwezo huo.Rais ana uwezo wa kushawishi itengenezwe sheria ambayo ina uwezo hata wa kuua watu wa nchi nzima lakini mimi sina uwezo huo.

Halafu Rais ambae ananyang'anya watu uhuru wao wa kidemokrasia kwa mabavu ambayo ni haki yao kikatiba kumuombea afe ni jambo la kheri sana kwa sababu akifa Taifa zima litapona.Unahitaji PhD kuyajua mambo madogo kabisa kama haya?!View attachment 1871245
Swadaktaaa!!!!!!
 
Huyu ni mtu hatari sn
 
Mimi nimeshauri. Ushauri unaweza kukubaliwa au kukataliwa. Kwangu mimi kumuombea mtu afe sio kitu kizuri. Kwako wewe ni kitu kidogo. Sina la kuongezea.

Amandla...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom