Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo nimeguswa sana na kitendo cha serikali kuwakamata baadhi ya wanasiasa kimya kimya kisha kuwafungulia mashataka kimya kimya na kuwataka dhamana kimya kimya. Hawa watu ni watu wenye ushawishi...
0 Reactions
3 Replies
515 Views
Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hali ni mbaya sana uraiani. Watu wana hofu kubwa. Watu hawana imani na chanjo. Japokuwa wamepewa matumaini kuwa chanjo ya Jonhson ni single shot. Watu wakiugua mafua sababu ya kibaridi cha...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Naam. Kwako Haji Manara. Nipo CCM kitambo sana. Naijua ndani nje hadi nakinai. CCM yetu ya sasa inawahitaji watu kama wewe. Njoo usaidie kupambana na wapinzani. Tena, ikiwezekana upewe kile...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema kauli ya hayati Dk John Magufuli kuhusu chanjo inapotoshwa kwani hakusema watu wasichanje ila kuwe na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Baada ya chanjo ya Covid-19 kuwasili nchini Serikali imejiweka lengo la kuwachanja asilimia 60 ya Watanzania wote. Waziri wa Afya, Dk Doroth Gwajima amesema awamu ya kwanza ya...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Mpumbavu ni nani? Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Nimetafakari tu maneno ya Gwajima ila nimeamua kukaa kimya kwani leo ni siku ambayo nimewakumbuka. Marine Hassan, Mama Lwakatare, Balozi Mahiga, Joseph Kambangwa, Benard Lowasa, Maalim Seif...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe. Chanzo: ITV habari Mungu ni...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam ========== Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru...
6 Reactions
150 Replies
18K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema, Serikali haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya corona. Amewataka Watanzania wapuuze upotoshaji unaosambazwa “Chanjo ni hiari tusipotoshane kwa sababu...
11 Reactions
53 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi. Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe. 1...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameonya tusipobadilika namna tunavyofundisha watoto wetu basi ajira zote zitatoweka ifikapo mwaka 2050. My take. Hii elimu yetu ya kuwafanya...
12 Reactions
143 Replies
14K Views
CHADEMA MUELEWE HAKUNA USHUJAA WA KUKAA MAHABUSU AU KUPOTEZA MAISHA. Nawasalimu kwa jina la chama pendwa, CCM. Chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo unayesoma hapa. Leo kwa...
5 Reactions
66 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo...
51 Reactions
121 Replies
16K Views
Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa Tanzania sioni faida yoyote ya kuwa na Mabalozi wengi nje sioni. Wanaenda kufanya nini mbona uwa hawaleti tija? Unakuwa balozi wa China unashindwa kwenda kuiba technologies mbali mbali na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwita Waitara: Ukitaka kushindana na watu wa Mombasa, bandari ya Mombasa ni kubwa kwelikweli, unganisha zote hapa Tanzania hatuwafikii kwa ukubwa wa eneo hata mizigo inayotua pale. Hata kama...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye...
18 Reactions
55 Replies
5K Views
Hii ni baada ya Wazee wa Tabora kumfananisha na Wapigania Uhuru wa enzi zile za kumng'oa Mkoloni , jambo hili lina maana kubwa sana kwa mwanasiasa yeyote. Mbowe yuko Mkoani Tabora kama sehemu ya...
11 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom