Kuifuta CHADEMA au CCM ni sawa na kutaka Yanga ishuke daraja ibaki Simba

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,905
45,333
Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu.

Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho.

Just imagine hawako bungeni lakini bado ni threat kwa serikali ya CCM.

Pendekezo amani ya nchi inabidi kupewa kipaumbele kwa kutoa Haki kwa raia wake.

Mbinu yakuimaliza Chadema haipo maana wao wako mbele ya Muda. I have to go to the store yet but
 
Back
Top Bottom