Operesheni Haki: Freeman Mbowe atinga Jimbo la Mtama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,530
217,790
Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.

Hebu jionee mwenyewe.

2812098_1624009667973.png
2812098_1624009667973.png

Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama , nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020 , alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno .

Hebu jionee mwenyewe

View attachment 1822454
OPERATION HAKI NA WAKATI HAMJATUPA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI WA SADAKA TULIZOTOZWA KWENYE ZILE NDOO NYEUPE KIPINDI CHA KAMPENI 2020.
 
Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.

Hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1822454
Hapa ndipo Nape alipita bila kupingwa kwa mizinga ya magufuli?
 
Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.

Hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1822454
Kwa kweli hali ni tete kwa Nape.. chini ya tume huru wanaompenda wamshauri akatafute jimbo jingine tu kwa kweli!
 
Back
Top Bottom