Serikali iweke wazi kesi za wanasiasa kuepusha vurugu

David M Mrope

Member
Jul 13, 2021
48
95
Leo nimeguswa sana na kitendo cha serikali kuwakamata baadhi ya wanasiasa kimya kimya kisha kuwafungulia mashataka kimya kimya na kuwataka dhamana kimya kimya.

Hawa watu ni watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii. Naishauri serikali wawe wanatoa taarifa za kina na wazi pindi wanapokamata watu wa namna hii ili kuepusha vurugu.

Mfumo wanaoendanao sasa si salama kwani watu wengi hawafahamu kwa kina lipi kosa la kiongozi wao na kuishia kulaumu serikali.

Binafsi naamini wapo wanaofanya makosa kweli na wapo wasiofanya makosa. Ili kuepusha manung'uniko na kashfa za serikali mbaya basi iweke wazi kila kitu.

Mfumo wa uongozi wa uwazi hasa pale serikali inapotia mkono wake katika mali ya wananchi wake unahitajika kwa kiasi kikubwa sana ili kupunguza vurugu.

Asanteni.
 
okiwira

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
1,910
2,000
Hii ndiyo nchi tuliopewa uhuru kijana relux.

Nchi zilizopigania uhuru mpaka sasa damu kutwa.

🔴
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,083
2,000
Leo nimeguswa sana na kitendo cha serikali kuwakamata baadhi ya wanasiasa kimya kimya kisha kuwafungulia mashataka kimya kimya na kuwataka dhamana kimya kimya.

Hawa watu ni watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii. Naishauri serikali wawe wanatoa taarifa za kina na wazi pindi wanapokamata watu wa namna hii ili kuepusha vurugu.

Mfumo wanaoendanao sasa si salama kwani watu wengi hawafahamu kwa kina lipi kosa la kiongozi wao na kuishia kulaumu serikali.

Binafsi naamini wapo wanaofanya makosa kweli na wapo wasiofanya makosa. Ili kuepusha manung'uniko na kashfa za serikali mbaya basi iweke wazi kila kitu.

Mfumo wa uongozi wa uwazi hasa pale serikali inapotia mkono wake katika mali ya wananchi wake unahitajika kwa kiasi kikubwa sana ili kupunguza vurugu.

Asanteni.
Kamwe kuweka wazi ni gharama kwao,hivyo uwazi ni hatua ya mwisho kabisa baada ya hatia zingibmnezo kushindwa kufanya kazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom