Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,965
2,000
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

20210727_203000.jpg
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,818
2,000
Hawakutuwekea VIKWAZO huko nyuma.

Watuwekee leo ilihali CHANJO WAMETULETEA BAADA YA KUIOMBA....NA TUMEIPOKEA?!!!

Mh.Lissu aendelee tu "kuufukuza upepo"!
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
5,488
2,000
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi
akula posho wazngu Ulaya harafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya.
Anaomba jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

View attachment 1870746
Mkuu,

Miezi minne iliyopita mlikuwa mnaahangilia na kusema Tanzania ni Donorconty /sisi ni matajiri tutembee kifua mbele hatuhitaji misaada kutoka kwa MABEBERU,

Leo umesha sahau,Sasa hapo mpumbavu ni Nani ka siyo wewe?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,965
2,000
Tunasikitika sana; Chama na kiongozi anayetegemea siku moja watanzania wampigie kura awe Rais wa nchi hii kuomba tuwekewe vikwazo vya kiuchumi, yaani wananchi tuumie kisa wanasiasa?
Tunaona hali halisi ya Zimbabwe vikwazo vya kiuchumi vilimuumiza Mugabe au kikundi chake?
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,366
2,000
Huyu dogo hadi watoto anasomeshewa
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi
akula posho wazngu Ulaya harafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya.
Anaomba jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

View attachment 1870746
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,965
2,000
Mkuu,
Weww ndiyo mpumpavu,

Miezi minne iliyopita mlikuwa mnaahangilia na kusema Tanzania ni Donorconty /sisi ni matajiri tutembee kifua mbele hatuhitaji misaada kutoka kwa MABEBERU,

Leo umesha sahau,Sasa hapo mpumbavu ni Nani ka siyo wewe?
TULIPIGANIA uhuru ili tuweze kujitawala na kufanya maamuzi yetu binafsi kama taifa bila kuingiliwa.

Kama ni matatizo ya kisiasa tunapaswa kuyamaliza sisi wenyewe sio mambo ya kaka nipigie.

Marekani hakuna udhalimu, dhulma, uvunjifu wa Haki? Nani anawawekea vikwazo vya kiuchumi?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,965
2,000
hapo ndio naona Wansiasa wako radhii kuuwa raia ili wao matumbo yao yajae na dhamira zao zitimie.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,626
2,000
Tunasikitika sana; Chama na kiongozi anayetegemea siku moja watanzania wampigie kura awe Rais wa nchi hii kuomba tuwekewe vikwazo vya kiuchumi, yaani wananchi tuumie kisa wanasiasa?
Tunaona hali halisi ya Zimbabwe vikwazo vya kiuchumi vilimuumiza Mugabe au kikundi chake?

..tunaweza kuwekewa vikwazo kutokana na UDHALIMU unaofanywa na CCM.

..kwa hiyo wanaotuweka ktk risk ya kuwekewa vikwazo ni CCM na hila zao za kukandamiza wananchi.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,626
2,000
hapo ndio naona Wansiasa wako radhii kuuwa raia ili wao matumbo yao yajae na dhamira zao zitimie.

..kwa hiyo CCM watuue kwa kutumia vyombo vya dola ili matumbo na dhamira zao zitimie?

..kuna ubaya gani kutafuta msaada toka nje kwa wale ambao CCM inawasikiliza na kuwaheshimu?
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,235
2,000
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi
akula posho wazngu Ulaya harafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya.
Anaomba jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

View attachment 1870746
Hii awamu naona team Mohamed Said imejipanga kumshambulia Mbowe kila siku. Wee mzima mzima hovyo, ni lini utaacha udini? Unafanya mambo ya kitoto kabisa kwa kutumia ID bandia ili tu uishambulie Chadema.Unafiri tumesahau siku ile ulivyojichanganya na kupost majibizano ya Mohamed Said kwa kutumia hii ID ya Ritz?
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,235
2,000
Tunasikitika sana; Chama na kiongozi anayetegemea siku moja watanzania wampigie kura awe Rais wa nchi hii kuomba tuwekewe vikwazo vya kiuchumi, yaani wananchi tuumie kisa wanasiasa?
Tunaona hali halisi ya Zimbabwe vikwazo vya kiuchumi vilimuumiza Mugabe au kikundi chake?
Zidisha kuishambulia Chadema. Pengine serikali itasikia kilio chako iandike upya historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika kama unavyotaka wewe. Maana kila siku huishi kulalama kuwa uhuru uliletwa na wazee wa kiislam lakini sasa wakiristo ndiyo wanakula nchi kwenye mfumo Kristo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom