THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Friends and Enemies,
Muda unakimbia Sana,mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na kuanza kwa uchaguz wa kwanza wa vyama vingi 1995,unaweza dhan kama ni majuz tuh,lakin ni miaka zaid ya ya miaka 26 hizi sura z hawa wanaojiita wapigania demokrasia ndan ya nchi hii hazijawahi kubadilika.
Siyo mbowe, lipumba,mbatia,cheyo Wala mrema na wengine wengi ambao wamekubali kuruhusu fikra mpya ziongoze vyama vyao,kila siku wao wanajiona ndiyo pekee wenye uhalali wa kutawala vyama hivyo huku wakisahau kutengeneza succession plan ya vyama hivyo wakisingizia eti wakitoka wao ccm wataweka mamluki.
Had hapa tulipofikia,tuseme INATOSHA sasa MBOWE na wenzake wakae kando na kuruhusu fikra mpya ziendeleze pale walipoishia na wao wakibakia kama walez na washaur wa vyama hivyo.
Ila kama hawataki na wataendelea na ukaidi mwisho wao ni kufia madarakan kama maalim seif au kuishia kupewa kesi za ugaidi kama freeman mbowe.