#COVID19 Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,445
7,815
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali.

Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea kwenye fani hiyo kwamba kamati iliundwa, waliofanya utafiti wewe unawaona hawana akili. Saa nyingine naweza kusema labda wewe ndio huna akili ya sayansi, wewe labda una akili ya kuhubiri peke yake kwa hiyo usijaribu kuwatukana wenzako.

Mwisho Azim amemwambia mchungaji Gwajima amuheshimu Rais na kiongozi wa chama ambacho kimemlea na kumpatia ubunge kwani bila chama cha CCM asingepata ubunge na wengine kama yeye hajampigia kura Gwajima bali alipigia chama.

PIA, Soma> Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Inashangaza kumuona mbunge anaongea maneno yale....😲😲

Yaani wakitokea MANESI na MADAKTARI wetu wanahimizana kuchanjwa chanjo dhidi ya UVIKO....wanatuhimiza Raia dhidi ya chanjo hiyo basi GWAJIMA amewaombea WAFE...WAFARIKI DUNIA...."WAKUFE" Khaaa😲

Waziri wa afya ,mh.Dr.D.Gwajima ni DAKTARI KWA TAALUMA .....

Katibu mkuu Wizara ya Afya ni DAKTARI KWA TAALUMA....

Binafsi nimeshangazwa na kusikitishwa sana na kauli ya ndugu Askofu Gwajima......

It's really terrible...

Terrible....
Terrible....

#TujiandaeKuchanjwaChanjoHiyo
#AfyaZetuNiMuhimu
#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziInaendelea
 
Jumbe una akilI sana, unajua lini uongee nini! Thanks, usikubali kumezwa na mahaba ya CCM
 
Hoja iliyopo mbele yetu sasa ni kuhusu chanjo na madhara yake. Askof Gwajima ametoa hoja zake kuhusu chanjo tunaomba wataalamu wajibu hoja kwani wengi wanaomshambulia kuwa hajui sayansi nao pia siyo wataalamu kama alivyo Gwajima. Tunahitaji majibu ya kitaalamu juu ya usalama wa Chanjo hizi tafadhari na si kumtishia . Ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake.
 
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali.

Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea kwenye fani hiyo kwamba kamati iliundwa, waliofanya utafiti wewe unawaona hawana akili. Saa nyingine naweza kusema labda wewe ndio huna akili ya sayansi, wewe labda una akili ya kuhubiri peke yake kwa hiyo usijaribu kuwatukana wenzako.

Mwisho Azim amemwambia mchungaji Gwajima amuheshimu Rais na kiongozi wa chama ambacho kimemlea na kumpatia ubunge kwani bila chama cha CCM asingepata ubunge na wengine kama yeye hajampigia kura Gwajima bali alipigia chama.

Migambo wanaruka na kukanyagana, wote wamesimama, wanaruka kinyamaaaa
 
Inashangaza kumuona mbunge anaongea maneno yale....😲😲

Yaani wakitokea MANESI na MADAKTARI wetu wanahimizana kuchanjwa chanjo dhidi ya UVIKO....wanatuhimiza Raia dhidi ya chanjo hiyo basi GWAJIMA amewaombea WAFE...WAFARIKI DUNIA...."WAKUFE" Khaaa😲

Waziri wa afya ,mh.Dr.D.Gwajima ni DAKTARI KWA TAALUMA .....

Katibu mkuu Wizara ya Afya ni DAKTARI KWA TAALUMA....

Binafsi nimeshangazwa na kusikitishwa sana na kauli ya ndugu Askofu Gwajima......

It's really terrible...

Terrible....
Terrible....

#TujiandaeKuchanjwaChanjoHiyo
#AfyaZetuNiMuhimu
#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziInaendelea
Kwani Gwajima hifu yake Nini? Watu wakikufwa si atawafufua? Si alisema angemfufua Amina Chifupa?
 
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali.

Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea kwenye fani hiyo kwamba kamati iliundwa, waliofanya utafiti wewe unawaona hawana akili. Saa nyingine naweza kusema labda wewe ndio huna akili ya sayansi, wewe labda una akili ya kuhubiri peke yake kwa hiyo usijaribu kuwatukana wenzako.

Mwisho Azim amemwambia mchungaji Gwajima amuheshimu Rais na kiongozi wa chama ambacho kimemlea na kumpatia ubunge kwani bila chama cha CCM asingepata ubunge na wengine kama yeye hajampigia kura Gwajima bali alipigia chama.

Chimeumana 😂😂😂😂!
 
Kauli hii ilimhusu pia mwendazake
 
Back
Top Bottom