Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona
---
Nahisi kutakuwa kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu.
---
Nahisi kutakuwa kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu.