Tafakuri: Mimi ni kiongozi wenu, nayajua mengi

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,070
2,000
Ilikuwa ni kauli ya Mh Rais jana alipotoa salamu zake kanisani huku akiwahasa wananchi wake kujikinga dhidi ya ugonjwa wa korona kwa njia mbalimbali ikiwemo kutotumia barakao ambazo hamjui zimetoka wapi.

Mh Rais alijaribu kutuweka wazi kuwa yeye anataarifa nyingi kuhusu ili janga kuliko sisi ambao tunapepesa pepesa tu, na ndio maana anajaribu kutuambia hii ni biashara, ni vita uchumi na ndiyo maana wanaogua ni waliopo mjini ila si vijijini.

Ukiitafakari kauli ya Mh Rais inakuoa picha gani? Yeye nikiongozi wetu anayajua mengi.
 

Lukonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
285
500
Unamficha mtu ugonjwa, unamwambia kameze dawa mimi nayajua magonjwa mengi???
Huyu daktari utamwelewa au utaondoka na wazo gani?

Viachie vyombo husika viseme hiki hakifai kwa sababu x or y.
Mbona lotion zenye zebaki tuliambiwa?
Isiingizwe nchini kwa sababu A.
Kuna vyombo /tasisi zilizopewa nguvu kisheria kuyafanyia kazi haya na kutoa matokeo yenye maana TMDA.

Mbona tuliweza ku-challenge PCR ambayo ni very sensitive tool for DNA identification na maneno tukasema wazi? Whether it was ok or not.

Ningesikia kwa mujibu wa sababu hizi zilizotolewa na tasisi yetu basi hiki kitu hakifai na kisiingizwe nchini hapo sawa. Haya ya kujua mengi??
 

MarkHilary

JF-Expert Member
Feb 8, 2015
1,516
2,000
Ningekuwa Rais na nina taarifa zote muhimu na kuzichambua kwa umakini na kujua matokeo yake ningechukua the best option bila kujali niko politically right or not. Navyomjua mimi huenda ndicho Rais Magufuli alichofanya!

Kama Rais wa Marekani Donald Trump alipata Covid 19 kwa umahiri wa marekani katika sayansi na ulinzi ulivyo,unafikifiri Tanzania ingefanyaje wananchi wasipate Corona katika hii hali yetu ya kiuchumi na kijamii?
 

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,662
2,000
Ilikuwa ni kauli ya Mh Rais jana alipotoa salamu zake kanisani huku akiwahasa wananchi wake kujikinga dhidi ya ugonjwa wa korona kwa njia mbalimbali ikiwemo kutotumia barakao ambazo hamjui zimetoka wapi!

Mh Rais alijaribu kutuweka wazi kuwa yeye anataarifa nyingi kuhusu ili janga kuliko sisi ambao tunapepesa pepesa tu, na ndio maana anajaribu kutuambia hii ni biashara, ni vita uchumi na ndiyo maana wanaogua ni waliopo mjini ila si vijijini.

Ukiitafakari kauli ya Mh Rais inakuoa picha gani? Yeye nikiongozi wetu anayajua mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli anayajuwa ila kiusalama sio yote anatakiwa kuyasema au kuijulisha jamii why? Taarifa nyingine huwa ni ngumu na huwa ktk kipengele cha hisia za wana usalama base on old facts or new. Hivyo hiyo taarifa hubaki kama sehem ya kuendelea kufanyia kazi ili sasa upate ukweli kamili.

Mfano Rais anatudhaharisha na barakoa ila hakuna ushahidi au mtu awaye yeyote amekamatwa na barakoa zenye covid 19 ila if ye could get report of Tiss i'm sure 100% hili swala linhekuwa ktk eneo la tahadhari yani wana usalama kufuwatilia na kuona upo uwezekano kukawa na barakoa zenye virus.

So hiyo sio habari sana sana kama Rais inamtaka kutafuta pesa na kuwa na mitambo yakugunduwa hilo likitokea maana hatuna uwenda teachnology kugunduwa hayo mabarakoa yenye covid sasa kama kiongozi ukitoka kuwatisha watu inakuwa sio sawa why report inakutaka utafute teachnology kugunduwa hayo na sio kututahadharisha kwa kitu bado hakijatokea.

Nisawa na ulinzi wa Rais kuna Teachnology zina nunuliwa kutokana na tahadhari ili jambo baya lisitokee is the same kwenye mambo ya usalama wa afya so nashauri bwana mkubwa atimize wajibu wa serikali na mambo ya maombi waachie wachungaji na Mashekh end
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom