Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,764
Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe.
Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa umeathiriwa na janga la COVID. Hata hivyo, ombi hilo la michango (ambalo nafahamu linawahusu "linalowahusu") linaweza kujenga tafsiri hasi kuwa watu "wanalianzisha" ili itembezwe bakuli ya michango.
Nonetheless, Watanzania ni wakarimu na huenda wakajitokeza kwa wingi kuchangia safari hizo za Lema na Lissu