Wabunge wawe Wabunge wakaazi

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Mbunge mkaazi maana yake ni Mbunge atakayekuwa akikaa katika Ofisi ya Mbunge Jimboni akikagua Shughuli za Maendeleo katika Jimbo, akisikiliza shida za Wananchi na kufuatilia majibu.

Mbunge mkaazi akikaa kwenye jimbo anakusanya takwimu na michango yake Bungeni itategemea takwimu.

Shida tuliyonayo kwa sasa ni Bunge linaendeshwa kama debate club za shule kila mtu anasema anavyowaza tu, kama yuko upande wa kusapoti atatafuta maneno ya kusapoti na kama yuko upande wa kupinga atatafuta maneno ya kupinga
 
Hiyo inaitwa OPPOSE SIDE and PROPOSE SIDE.
Bunge letu huuliza:
Wanafiki wa Bunge waseme ndiyo= Ndiyooooo.
Wasiowanafiki waseme siyo= Siyooooo
 
Back
Top Bottom