Utani wa CCM na Vyama vya Upinzani unachekesha na kuleta hasira

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
476
500
Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM

Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no.

Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani nikaibiwa fomu, CCM Wapinzani wanajiteka wenyewe

Majina yawagombea yakitoka kipindi cha uchaguzi, CCM mpaka sasa tumeishapiga bao 19 wapita bila kupigwa.

Wapinzani kipindi cha kampeni, Mikutano yetu nimevamiwa na wana CCM serikali tusaidie anatokea askali anasema nakuambia wewe hushindi.

Wapinzani wakati wa kupiga kura, jamani nimekamata mabox kura zimeishapigwa hizi wana CCM wewe umejipigia mwenyewe.

Kutangaza mshindi kama kuna dalali za mpinzani kushinda 😁😁😁

Anaweza kuwaza mwisho wa siku itakuaje atuambie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom