CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,782
Ila ana point kweli huyu mwamba, maana hv ndo tunaweza kuepukana na simcard tax za Mzee Mwigu.
Kwa hio kajamaa kanamaanisha na sisi Tanzania tutakuwa na ka CIA ketu na ka FBI au sio? Ila sisi ni kwenye mambo ya hela.
Sawa, nimekuelewa.
===
REVENUE INTELLIGENCE BUREAU (RIB)
(Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni) Mama Shikamoo!Mama, ni wazi kuwakatika ulimwengu wa sasaTaifa letu linaendelea kupoteza mapato mengi kila siku. Ni dhahiri pia kuwa Taifa letukwa kila siku linazidi kukosa ubunifu katika kubunivyanzovipyambali mbali vya mapato.Kila sekunde Serikali inapoteza mapato yake badala ya kuingiza mapato yake.
NINI KIFANYIKE?
Kifanyike hivi, Mama. Kiundwe taasisi inayofanya kazi kwa weledi mkubwa na kwa uhuru mkubwa bilakuingiliwakisiasakwa namna yeyote ile. Taasisi hii iitwe REVENUE INTELLIGENCE BUREAU.
KAZI YA YAKE NI NINI?
Kazi yake ni kufanyamambo mawili tu:
1. Kubaini upotevu wa mapato ya Serikali:
Kuhakikisha kuwa usiku na mchana inafanya kazi ya kubaini mianya ya upotevuwa mapato ya Serikali. Yaani, Taasisihili kwa kutumia uwezo wa kiintelijensiaama uwezo wowote uleinapaswa kuhakikisha kuwa inaweza kubaini namna ambavyo Serikali inakoseshwa/inapoteza mapato yake kutokana na shughuli mbali mbali za kiuchumi zinazoendelea hapa nchini. Shughuli hizi za kiuchumi zinaweza kuwa za umma ana za watu binafsi. Mfano mianya ya ukwepaji kodi, ama ukusanyaji wowote ule wa mapato ya Serikali.Shirika hili hufanya kazi saa 24 kwa siku, yaani usiku na mchana.
2. Kubaini/kubuni vyanzo vipya vya mapato kwa ajili ya Serikali:
Taasisi hii inapaswa kusaidia Serikali kuhakikisha kuwa inabaini vyanzo mbali mbalivipyavya mapato pamoja na ku coordinate na ku exploit vyanzo hivyo vya mapato ili Serikali iweze kujiongezea mapato yakezaidi. Taasisi hii isiwe taasisi ya kuangazia utozaji ushuru, ama ukusanyaji kodi pekee KAMA ILIVYOZOELEKA bali iwe ni taasisi inayoangazia uanzishwaji wa miradi yenye tija ki uchumi kwa nchi na kwa watu wetu.
Katika Dunia ya leo ni muhimu sana kuwepo na taasisi inayojishughulisha moja kwa moja na masuala muhimu kama haya badala ya kuacha mambo haya muhimu mikononimwa wanasiasa ambaohuja na kupotea kutokana na upepo waki siasa.Japokuwa kuna mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ambayo kimsingi hujishughulisha zaidi na ukusanyaji kodi, lakini mamlaka hii bado haijishughulishi kwa mapana yake katika ukusanyaji wa mapato mbali mbali ya Serikali zaidi ya ukusanyaji wa kodi pekee.
Hii ni tofauti na REVENUE INTELLIGENCE BUREAU ambayo yenyewe itakuwa na mamlaka ya kubaini upotevu wa mapato ya Serikali katika kila senti ya Serikali bila kujali kama ni kodi, ushuru ama faini mbali mbali. Na kama haitoshi ina jukumupia la kuhakikisha ya kuwa Serikali inapata vyanzo vingine vipya vya mapato kwa ajili ya Serikalibila kuchonganisha uhusiano wa Serikali na watu wake.
# Suluhu is the legacy of Samia.
# New Tanzania –Tanzania Mpya ya Samia.
Wasalaam,
ONE VOTE COUNTS TANZANIA (IDARA KUU HUDUMA KWA WANANCHI–TANZANIA).Twitter: ovctanzania, Instagram: ovctanzania, Email: ovctanzania@gmail.com SIMU: +255 (0) 785 29 45 45.