CHADEMA waombe radhi Umma wa Watanzania kwa kutaka kuleta uvunjifu wa Amani japokuwa wamedhibitiwa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya.

Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri wa vyama vya siasa. Basi wanapaswa kuomba radhi ili umma wa watanzania wawasamehe.

My take: Kuwa na chama ambacho kinajihudumia kwa ruzuku ambayo ni kodi toka kwa wananchi alafu kikahusika kuratibu ugaidi ni aibu.
 
First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist

Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist

Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist

Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew

Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me
 
Bila shaka wewe ni sikio la kufa. Huongopi hata Mungu kwa yanayotokea sasa hivi? Kusoma najua hujui, hata picha huoni? Au wewe masikio yako yamepigwa chanjo, yanaiskia Iyena iyena tu?
Jehanum ni halisi.
 
Soma pia
 
Hii ni mada ya akili ndogo sana think
Sure Mkuu, ccm wanapenda lazimisha watu wabebe maiti isiojulikana imefia wapi? Yatakua maajabu ya karne, amani waivuruge wao KWa uchu wa vyeo na madaraka,wasingiziqe CHADEMA

Mfano Kama kweli ccm wanalipenda Taifa Hili, why waogope Katiba mpya ,mbona ni Jambo zuri KWa ustawi wa Taifa,viongozi ,na wananchi,

Ghana vipi,? Tz bila katiba mpya hayo maendeleo tunayoimbiwa tutayasikia kwenye magazeti, bali ufisadi ,dhuluma, vitatamalaki, huwezi zuia vitu Kama ufisadi, dhuluma, kuwa na watumishi waongowaongo tena kwenye nafasi nyeti IMEKUA kawaida, angalia china sheria zake kwenye Mambo Kama ya kifisadi,

Sasa leo wale wanaolitakia Taifa mema ,tupate katiba mpya bora , KWa Sasa ili itusogeze ndo wanatungiwa kesi za UGAIDI

Alafu utawasikia wapambe njaa, katiba ya nini , ila hawajui wanakufa sio mda, na Kuna wajukuu wao wataendelea ishi Taifa Hili Hili,

Sikia nyie mjifanyao majeuri maisha ya Sasa yamegeuka mno ukiwa na miaka kuanzia 35 kuipata miaka MINGINE Kama uliyonayo ni bahati tu ukiwa duniani, hii ndivyo ilivyo , Sasa je Kama una 50 vipi mategemeo YAKO ya kutoboa miaka MINGINE 50 yapoje, maana mnajisahau Sana mpaka mnapitiliza, Sasa nimewapa mahesabu kabisa na mtafakari
 
Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya.

Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri wa vyama vya siasa. Basi wanapaswa kuomba radhi ili umma wa watanzania wawasamehe.

My take: Kuwa na chama ambacho kinajihudumia kwa ruzuku ambayo ni kodi toka kwa wananchi alafu kikahusika kuratibu ugaidi ni aibu.
Wapi CHADEMA wametaka kuleta fujo?
 
Back
Top Bottom