Labda watu hawaelewi maana ya Katiba au umuhimu wa Katiba ya nchi, au Katiba ya nchi ni kwa ajili ya nini na nani.
Lakini hakuna mtu duniani, kama ana akili timamu, atazuia wazo la kuboreshwa kwa...
Tanzania ni nchi ya kwanza, kwa Afrika Mashariki na Kati, Kwa SADC, na kama sikosei ya pili kwa Afrika kuwa na Rais mwanamke. Tuna jambo kubwa sana, kwa kuwa hata Marekani hawajawahi kuwa na Rais...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkutana kesi ya kujibu aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu na wenzake wanne na hivyo wanatakiwa kuanza kujitetea...
Kuna jambo linanitatiza na kunifikirisha sana Kuhusu Lema na Lissu kukimbia nchini mara baada ya uchaguzi . kisha hayati Magufuli kuapishwa.
Utorokaji wao, kwangu mimi nahisi kuna hujuma kubwa...
Samia alipochukua madaraka ya Urais, kwa yale machache aliyoyafanya mwanzoni, yalimfanya apingwe sana na hardliners wa CCM, hasa CCM ya marehemu Magufuli.
Kwa upande mwingine, aliungwa mkono sana...
Taifa ni watu. Taifa fulani linapokuwa maskini au tajiri huashiria umaskini au utajiri wa Taifa hilo. Uchumi wa nchi unapokua au kuanguka humaanisha uchumi wa wananchi wa nchi hiyo unakua au...
Huyu mwamba aliweka mifumo karibu yote inayofanya kazi sasa.Wanaokuja wanaboresha tu na wakati mwingine si kwa ubunifu wao bali teknolojia inawasukuma kuwa hivi.
Nakumbuka machache tu kama...
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye...
Wote tumeona Chama Cha Mapinduzi, CCM, kimekanusha taarifa ya gazeti la UHURU kwamba Samia hatagombea urais mwaka 2025.
Lengo la habari hii siyo kanusho hilo lakini ni kitaarifa ndani ya taarifa...
Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za...
Kwa heshima nawasalimia wana jukwaa la Jamii forum!
Wakati akifunga mkutano wa 8 wa CCM, tarehe 13/11/ 2012 Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, alisema" Nataka mfahamu ndugu zangu tukiishi kwa...
Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam.
===...
Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali tuu,
Rais Anapoteua Mawaziri wenye uwezo mdogo, Ukisema Waziri Fulani ana uwezo mdogo , Jee ni Kumwingilia Rais Katika Uteuzi?.
Tanzania ni nchi yetu sote, watu...
Kwa ufupi;
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, Juma Ali Khatib amevitaka vyama vya siasa kuacha kutoa mashinikizo kwa Rais Samia ikiwemo madai ya katiba mpya na kutishia kufanya...
Rais Hussein Mwinyi amewateua Haji Omar Haji na Mzee Ibrahim Mzee kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar. Uteuzi wao umeanza Februari 01, 2021
Amefanya uteuzi huo chini ya Kifungu Namba 94(2)...
Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano.
Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani...
Kwa mambo yanavyokwenda ni vigumu kujua kuwa rais Samia yuko in charge ya mambo, au kuna genge la watu limemcorner rais wetu na kumtengenezea ajenda kwa manufaa ya kundi hilo binafsi.
Rais...
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa...
Katika muendelezo wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Shahidi wa nane wa Jamhuri dhidi ya Sabaya ameieleza...
Dar/ Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amepasua jibu la uchaguzi wa marudio wa Konde na sababu zilizomfanya mgombea wa CCM kujiuzulu ubunge baada ya kutangazwa mshindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.