Kama mnasubiri CCM ikosee mbele wananchi mtasubiri sana

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,698
Reaction score
10,189
Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano.

Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani?

Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM.

Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
 
Sema chadema na wapinzani wenzao mkuu, maana wananchi wasiokuwa na vyama wengi wana uelewa na wanajua na kuyaona mazuri mengi yanayofanywa na serikali ya CCM.
 
Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM. Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
1628674349343.png
 
Dawa ya CCM kufungasha virago vyao ni KATIBA MPYA TU - na ndiyo maana ukitaja katiba mpya wewe kwao ni Mhaini ama Gaidi.
 
Mleta mada hebu punguza jazba alafu kunywa maji baridi na utulie kwenye kivuli utosi upoe kidogo.
 
Dawa ya CCM kufungasha virago vyao ni KATIBA MPYA TU - na ndiyo maana ukitaja katiba mpya wewe kwao ni Mhaini ama Gaidi.
Katiba mpya haisaidii kitu. Dawa ni upinzani kuchukua nchi na kutawala na hii hii katiba kwa miaka kumi ili kulipiza kisasi na kuhukumu watu vifungo vya vifo hadi kufa vinavyotekelezwa chini ya wiki baada ya hukumu.
 
Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano.

Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani?

Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM.

Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
Hakuna cha kuvizia CCM ikosee. Ilishakosea na kujinasa. Tunasubiri mda wa mazishi yake tu. Mda unacheleweshwa na polisi wakishirikiana na tume ya uchaguzi. Sanda na kaburi vyote viko tayari.
 
Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano.

Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani?

Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM.

Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
Lazima CCM ife
 
'wananchi waliikubali chanjo' usiniulize alikutana nao wapi na nani alisema
 
CCM hufanya makosa kadhaa ambayo kimsingi wapinzani wangetakiwa kuyatumia kama njia kuelekea anguko lake.
Badala ya kutumia nafasi hii adhimu ya makosa ya wazi kabisa na kuya 'convert' kuwa 'goli' wao wanabaki kufanya vita vya maneno tena wengine wakiwa ughaibuni.
Kwa nini wapinzani wameshindwa kuwa na 'super sub' kwa vile waliopo wamecheza vizuri lakini bado timu haijapata matokeo?
 
Back
Top Bottom